Kampuni ya TTCL Yatwaa Tuzo ya Maonesho ya Biashara Sabasaba…!

KAMPUNI ya Simu Tanzania, TTCL imeshinda tuzo katika kundi la kampuni zinazotoa huduma za mawasiliano, kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Makamy wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi ndiye aliyemkabidhi tuzo hiyo, Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu, Peter Ngota katika uzinduzi rasmi wa Maonesho ya 38 ya …

African Leaders Re-affirmed Their Intention to Devote 10%…!

  ONE. org applauded African Union leaders today for solidifying their commitment to transforming  Africa’s agriculture sector by improving upon the 2003 Maputo Declaration, under which they committed to spending at least 10% of their national budgets on agriculture. The Malabo Declaration, coming out of the 23rd AU Summit of Heads of State and Government in Equatorial Guinea, commits member …

Mfuko wa PPF na Huduma kwa Wateja Sabasaba

Mfuko wa PPF na Huduma kwa Wateja Sabasaba Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba.  Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg …

Vodacom Yakutanisha Wateja Katika Punguzo Kubwa la Bei za Simu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MTANDAO wa Simu za mkononi wa Vodacom Tanzania unakutanisha wateja wake wa simu katika punguzo kubwa la simu za mkononi aina mbalimbali ‘Vodacom Expo’ katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Zoezi la kuwakutanisha wateja mbalimbali kununua simu aina mbalimbali za mkononi zikiwa na punguzo kubwa limeanza leo jijini Dar es Salaam …