LG Yazindua Simu Mpya ya G3…!

KAMPUNI ya LG imezindua simu mpya ya G3 ambayo itaanza kupatikana katika maduka mbalimbali wakagi wowote kuanzia sasa. Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika 5 Agosti 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Jijini Dar es Salaam, Meneja Mkuu wa Kampuni ya LG Moses Marji alisema kuwa wameamua kuzindua simu hiyo kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya wateja wao.   Alisema kuwa simu …

MeTL Kupanua Soko Lake la Mafuta Afrika Mashariki na Kusini

  Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bi. Mizinga Melu akizungumza kwenye hafla ya utiliaji saini wa mkopo wa bilioni 100 za kitanzania baina ya benki yake na kampuni ya MeTL mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi wetu KAMPUNI ya Mohammed Enterpries Tanzania Limited (MeTL GROUP) kupitia kampuni yake dada ya kuingiza, kuhifadhi na kusambaza mafuta nchini ya Star …

Mitumba Bei Rahisi, Jumla na Rejareja Tanzania

MWEZI mtukufu wa Ramadhan, umebakiza takribani majuma mawili tu. Kwa maana hiyo, maandalizi ya sikukuu ya Eid-El-Fitri tayari yameshaanza. Eid huwa ni wakati wa furaha na mara nyingi huenda sambamba na kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki kufurahi na kutukuza yale yote aliyotujalia Mwenyezi Mungu. Palipo na mkusanyiko wa watu, huwa pia pana “mtoko”. Kila binadamu hupenda kupendeza. Wenzetu wa …