Vodacom, FSDT Kuwakutanisha Wafanyabiashara na Watoa Huduma Sekta ya Fedha
ZAIDI ya wafanyabiashara 100 wadogo na wa kati wanakutanishwa na watoa huduma sekta ya fedha kesho (Jumanne Agosti 19, 2014) jijini Dar es Salaam katika semina maalum iliyoandaliwa na Taasisi ya sekta bianfsi Nchini (TPSF) iliyofadhiliwa na Vodacom na FSDT. Mkutano huo unaofanyika chini ya ufadhili wa Kampuni ya Vodacom na Taasisi ya ukuzaji sekta ya fedha nchini (FSDT) unafanyika …
Waziri Gaudensia Kabaka Aipongeza TPB kwa Kuwakumbuka Wastaafu
WAZIRI wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka ameipongeza Benki ya Posta Tanzania (TPB) kwa kuandaa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF ikiwa ni fursa itakayowainua kiuchumi wastaafu hao. Waziri Kabaka ametoa pongezi hizo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizinduwa rasmi mpango wa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Penseni wa LAPF, mpango …
Takwimu Zaonesha Benki za EAC Kukua kwa Kasi
Na James Gashumba, EANA BENKI zilizomo katika nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zinatarajia kukua na kupanuka katika kipindi cha miaka miwili ijayo. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na taasisi huru yenye makao yake makuu nchini Marekani. Inaelezwa kwamba hali inayozifikisha benki hizo katika hatua hiyo ya matumaini ni pamoja na kukua kwa Pato la Taifa kwa Mwaka …
Wizara ya Viwanda na Biashara, Katika Maonesho ya Nane Nane Lindi
Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika banda lao wakati wa Maonesho ya Wakulima Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. Watoto waliotembelea Banda lka Wizara ya Viwanda na Biashara. Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika banda lao wakati wa Maonesho ya Wakulima Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. Mshiriki akionesha baadhi ya bidhaa za ngozi ndani …
VETA Washindi wa Jumla Taasisi za Utafiti na Mafunzo Nane Nane Lindi
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharibu Bilali akikabidhi tuzo ya Ushindi wa kwanza Kitaifa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa kuibuka washindi wa jumla katika Kundi la Taasisi za Utafiti na Mafunzo. Anaepokea ni Mkurugenzi Masoko, Mipango na Maendeleo, wa VETA – Tanzania, Enock Kibendera Wafanyakazi na wanafunzi wa VETA wakiwa katika picha ya pamoja baada …