Elihuruma Ngowi Joined Serengeti Breweries…!

MR. Elihuruma Ngowi has joined Serengeti Breweries Ltd as Brand Manager with a profound experience in Customer Care, Marketing and Sales after having spent over eight (8) years at Vodacom Tanzania Ltd. At Vodacom, he worked in various departments from Customer Care to Marketing and finally with Sales & Distribution Department where he held key positions, most notably as Product …

TRIA Yazinduliwa Rasmi Tanzania

KAMPUNI ya matangazo kwa kutumia vifaa tembezi yaani matangazo yanayotembea leo imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam. Akiongea na waandishi wa habari pamoja na wageniwengine waliohudhuria katika hafla hiyo ya uzinduzi ulifanyika katika hanga la shirika la ndege la Precision yenye makao makuu yake eneo la uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam, mkurugenzi mtendaji na muasisi wa TRIA, Trushar …

Tanzania Kuiboresha Bandari ya Dar Kuwa ya Kisasa

Na James Gashumba, EANA Arusha SERIKALI ya Tanzania imetangaza mipango mipya itakayorahisisha upakuaji wa mazigo katika bandari ya Dar es Salaam. Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania, Dk. Harison Mwakyembe alisema mipango iko mbioni ya kukarabati maeneo ya kupakulia mizigo kutoka moja hadi saba na kujenga maeneo mengine mapya manne ya aina hiyo ili kurahisisha upakuajia  wa mizigo. Alikuwa anazungumza katika Mkutano …

Kampuni ya Simtank Yatoa Zawadi kwa Wateja Wake

 Mr. Shrima of Innocent hardware receiving 4th category award Bajaj Boxer motorcycle from Mr. Alpesh Patel CSMO (Chief Sales & Marketing) Mr. Dilip on be half of Aim Steel Arusha receiving 4th category award Bajaj Boxer motorcycle from Mr. Alpesh Patel CSMO. Mrs. Elizabeth of Lazy Shop receiving for 6Th category award Samsung S4 Mini from Genesis Mushi Sales executive …