Etihad Airways Kuongeza Safari Nchini Tanzania

SHIRIKA la ndege la Etihad Airways litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku ya mji wa Dar es Salaam. Shirika la ndege la Etihad Airways, ambali shirika la ndege la kitaifa la Umoja wa Falme za Kiarabu, litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzinfua safari mpya ya kila siku Mjini Dar es Salaam, mji mkubwa …

Samsung Wazinduwa Duka na Kituo cha Huduma Arusha

KAMPUNI ya Samsung imezinduwa rasmi duka kubwa na kituo chake cha huduma kwa wateja lililopo barabara ya Sokoine Mjini Arusha. Uzinduzi huo utawawezesha wateja wake wote mkoani Arusha kupata huduma stahiki na bidhaa halisi za Samsung. Kituo hicho cha kwanza kuzinduliwa mkoani Arusha na kampuni hii yenye idadi kubwa ya wateja wa vifaa bora vya kielektroniki ulimwenguni. “Mtazamo wa maisha …

Baraza la Ushindani Lawataka Watanzania Kulitumia kukuza Uchumi

Na Hassan Silayo-MAELEZO Baraza la ushindani limewataka wananchi kulitumia Baraza hilo kwa manufaa ya Taifa na ustawi wa uchumi nchini. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kitengo cha Masuala ya Uchumi Nzinyangwa Mchany wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam. “Baraza la ushindani lipo kwa ajili ya watu wote hivyo wananchi hawana budi kulitumia kwa manufaa …

Tanzania Ina Vikwazo vya Kibiashara – Dk Nagu

Na Gervas Yohane, Rombo WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mery Nagu, amesema Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo ina gharama kubwa katika kufanya biashara, hali inayochangia wawekezaji kutofikiria kuwekeza nchini. Dk. Nagu aliyasema hayo jana wakati alipotembelea jengo la kutoa huduma kwa pamoja, (one stop border), lililojengwa eneo la Holili Wilaya ya Rombo, …

Jengo la Gorofa Moja Linakodishwa Dodoma

Muonekano wa Jengo hilo ambalo lipo Katikati ya Mji wa Dodoma, lenye Ghorofa moja linakodishwa tunapenda kuwakaribisha Mtu binafsi, makampuni, shirika au taasisi ambayo inataka kufungua ofisi au imekuwa ikihitaji jengo kwa ajili ya Ofisi sasa Jengo zuri tu lenye huduma zote muhimu lipo na nafasi pia zipo Karibu Kwa Mawasiliano Zaidi. Piga namba hii 0787 970 072  Korido Kama …

Gari Aina ya Toyota Lav 4 L Inauzwa…!

 Gari inauzwa kwa bei nzuri tu na ipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chini SPECIFICATIONS ZA GARI HIYO NI MAKER: TOYOTA MODEL: LAV4 L YoM:      2005 CC:       2500 Odo:   81,993 KM Color : WHITE KWA MAWASILIANO 0713327106/0756673327