Samsung Tanzania Yazinduwa Simu za Galaxy Note 4

BAADA ya kusubiriwa miezi kadhaa, Kampuni ya kielektroniki ya Samsung Tanzania imeongeza rasmi mwanafamilia mpya katika simu aina ya Note. Tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Terrace, Slipway ni alama ya uzinduzi rasmi na upatikanaji wa Samsung Galaxy Note 4 katika soko Tanzania. Tukio hilo la uzinduzi lilijumuisha watu mashuhuri ndani ya Mkoa wa Dar es salaam ambao walipata nafasi za …

Timu ya Rainer Zietlow Wakaribia Kuvunja Rekodi ya Dunia

Na Mwandishi Wetu DEREVA raia wa Ujerumani Rainer Zietlof yuko mbioni kuvunja rekodi ya dunia ya kuendesha gari kwa kilometa 17,000 kutoka Ulaya hadi Afrika. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Zietlof alisema kuwa hiyo itakuwa ni rekodi yake ya tatu baada ya zile za awali alizovunja mwaka 2011 na 2012. Awali alivunja rekodi baada ya safari …

NMB Yadhamini Wiki ya Uwekezaji Ziwa Tanganyika Sumbawanga

NMB Yadhamini Wiki ya Uwekezaji Ziwa Tanganyika Sumbawanga   NMB imedhamini wiki ya uwekezaji ukanda wa ziwa Tanganyika-Mikoa ya Rukwa, Kigoma na Katavi lenye lengo la kuvutia uwekezaji katika kanda hii. Katika wiki ya uwekezaji inayofikia tamati tarehe 2 Novemba 2014, NMB imedhamini shughuli zote kwa kuanzia maonyesho ya wajasiliamali (SIDO), uzinduzi wa wilaya ya Kalambo ambayo inategemewa kuzinduliwa na …

Washindi 100 Kuzawadiwa SamSung Gear S, Kifaa cha Galaxy Note 4

KAMPUNI ya vifaa vya kieletroniki ya Samsung imezindua kampeni ya kuweka oda kwabidhaa yake mpya ya Galaxy Note 4 nchini Tanzania, ikiwa ni sehemu ya kushamirisha uzinduzi mkubwa utakofuatia wa bidhaa inayosubiriwa kwa shauku ya Samsung Galaxy Note 4. Kampeni hiyo itakayoendeshwa kuanzia tarehe 31 Oktoba hadi14 Novemba 2014, inadhamiria kuwapa wateja wake wakudumu nafasi ya kujipatia bidhaa hiyo ya …