*Soko la kwanza kwa njia ya mtandao limefunguliwa – Huessein Idd, muhitimu wa fani ya Teknolojia ya Mawasiliano, anauza vifaa vya umeme kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Kaymu. ANAITWA Hussein Idd, muhitimu wa fani ya Teknolojia ya Mawasiliano katika chuo cha Learn IT. Mapenzi yake kwa Teknolojia ya Mawasiliano hayakuishia chuoni, bali yaliendelea hadi katika kufungua biashara yake …
Matarajio Soko la Mali Zisizohamishika kwa Mwaka 2015
Matarajio Soko la Mali Zisizohamishika Mwaka 2015 Nini kinatarajiwa kujitokeza katika soko la mali isiyohamishika katika mwaka mpya MWAKA 2015 inatarajiwa kupungua kwa vikwazo vya kumiliki ardhi nje ya nchi, pia kutakuwa na ongezeko la riba kutoka kwa wawekezaji wa kimataifa pia biashara ya nyumba na makazi kuhamia kidigitali hasa kupitia simu. Godlove Nyagawa, Country manager wa Lamudi Tanzania, alifafanua …
Benki ya Posta Yawafunda Wafanyabiashara Tunduma
BENKI ya Posta Tanzania (TPB), Tawi la Tunduma imetoa mafunzo kwa wajasiriamali wa Tunduma, wilayani Momba. Semina hiyo iliyohudhuriwa na wajasiriamali wapatao 100, ililenga kuwaelimisha wafanyabiashara hao kuhusu matumiza mazuri ya huduma za kibenki, hususan mikopo inayotolewa na benki hiyo. Akifungua semina hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Momba Abiudy Saideya, aliipongeza Benki ya Posta kwa kutoa mafunzo ambayo alisema yanawasaidia …
Benki ya Posta Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara Mbeya
BENKI ya Posta Tanzania (TPB) Tawi la Mbeya, imetoa semina kwa Wajasiriamali wa mkoa ikiwa na lengo la kuwaongezea ujuzi kwenye biashara zao. Semina hiyo ya siku moja imefanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya na kufunguliwa na Mkuu wa Wilaya, Profesa Norman Sigallah. Akizungumza kwenye uzinduzi wa semina hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki …
TTCL Yazinduwa Dili la Ukweli, Kutoa Modem Bure
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imezinduwa huduma mpya kabambe ambayo inampa mteja wa kapuni hiyo fursa ya kufurahia modem ya bure na vifurushi vya intaneti kwa bei nafuu, huduma ambayo imetolewa kama ofa kwa wateja hasa katika kuelekea siku kuu za Chrismas na Mwaka mpya. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam juu ya huduma hiyo, Meneja Huduma za Intaneti wa …
Nyumba Inapangishwa…!
Maelezo ya nyumba husika: Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja master bedroom na viwili vya kawaida), dinning room, laundry na stoo. Ina simtanks 2 (lita 2000 na lita 1000). Iko ndani ya uzio na geti. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0763514988.