New Year Resolution; Start Buying and Selling Online
AS we enter the 3rd week of January, we are sure that many of you have put down your New Year resolutions which you are looking forward to accomplishing, and we sure hope you do. Have any of you thought of changing the way you usually buy or sell? Ditching the traditional retail process? Make buying and selling online one …
Vanessa Mdee Asaini Mkataba Kuwa Balozi Samsung
KAMPUNI ya kielektroniki ya Samsung kwa mara ya kwanza imehusisha kampuni hiyo na msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania. Leo hii, Kampuni namba moja duniani inayoongoza kwa technolojia ya hali ya juu, Samsung wanayo furaha kumtangaza balozi wao mpya mwanamziki nyota, na mtangazaji wa Televisheni na radio Vanessa Mdee. Katika mkutano na wanahabari ulilofanyika hoteli, ya Hyatt Regency, iliyoko mjini …
StarTimes Waibuka na Kifurushi cha Bei Raisi ‘Nyota’
Baadhi ya wateja wakiangalia chaneli mbalimbali zinazorushwa na StarTimes kupitia vifurushi vyao mbalimbali. KAMPUNI ya StarTimes Tanzania ambayo inatoa huduma bora na nafuu za matangazo ya digitali imezidi kupanua huduma zake baada ya kuja na kifurushi kipya na bei mpya ya king’amuzi kwa sh. 4000/- tu gharama ambayo ni ya chini kabisa kutowahi kutokea nchini. Akizungumza katika …
Mbunge CCM Arusha Azinduwa Duka Jipya la Urembo Dar
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige (kushoto) akiwasili kuzindua rasmi duka la urembo la ZuRii House of Beauty linalomilikiwa na mwana Diaspora ambaye pia ni mwanalibeneke Jestina George Meru (kulia) ndani ya jengo la Dar Free Market jijini Dar es Salaam leo. Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige leo …
Karibu ZuRii House of beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi
*Kufunguliwa rasmi Januari 12, 2015 DUKA lipo Dar Free Market 1st Floor Shop No F4. Wako wazi kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nne usiku. Hapo utapata kila kitu kuanzia Lotions, Dawa Za Nywele za watoto na watu wazima, Mafuta mazuri ya nywele na mwili kwaajili ya watoto, Queen Elisabeth (Jumla na Reja Reja), Make Ups, Perfumes yaani cosmetics na urembo …