“DOST thou love life? Then do not squander time, for that is the stuff life is made of.” “Time is the most valuable thing a man can spend.” “Be frugal of your time. It is one of the best jewels we have.”Words from the likes of Benjamin Franklin, Laertes Diogenes and Sir Matthew Hale. Clearly, time is a very valuable …
Soko la Rangi Kushuhudia Mabadiliko Kutokana na Maendeleo ya Miundombinu Nchini
KUTOKANA na mpango mkakati wa serikali wa mwaka 2012 mpaka 2017 ambao unalenga upanuzi wa makazi katika mikoa mbalimbali, kumekuwa na ongezeko kubwa la majengo ya makazi, majengo ya ofisi na majengo ya masoko ambayo yameonekana kuwa na manufaa na mchango mkubwa katika sekta mbalimbali na viwanda nchini Tanzania. Mpango huu wa upanuzi umejenga mahitaji kwa vifaa vya ujenzi ambapo …
Kaymu.co.tz Celebrates Women’s Day With Top Fashion Seller
WOMEN’S Day is a day to celebrate acts of courage and willpower by women who have played an important role in the history of their countries, communities and families in one way or another, and to continue promoting the importance of increased opportunity and equality for women across the globe. Kaymu.co.tzTanzania’s leading online marketplace celebrates Women’s Day with Mrs. Dorah …
Embrace E-Commerce: Kaymu Advises
Embrace E-Commerce: Kaymu Advises TODAY technologyis changing Tanzania – the way we work, communicate with each other, educate ourselves, buy goods and services and transfer money are done increasingly through the Internet, bringing convenience to our day-to-day routineHow do we ensure Tanzania keeps pace with the global shifts toward e-commerce? What do we need to do to avoid being left …
Watafutaji Nyumba Sasa Kutumia Simu, Lamudi Yarahisisa
WATAFUTAJI nyumba za kupanga, nyumba za kununua pamoja na uuzaji wa bidhaa mbalimbali nchini Tanzania sasa wamerahisishiwa kupata huduma hizo kwa kutumia simu ya mkononi. Kampuni ya Lamudi Tanzania leo imetangaza namba maalumu ambayo itatumiwa na Watanzania ambao awali walikuwa wakihaha kuzunguka huu na kule kutafuta nyumba ama za kupanga au za kununua kwa matumizi mbalimbali. Akizungumza na vyombo vya …
Tigo Kutumia Bilioni 221 Kupanua Mtandao Wake
Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Cecile Tiano akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu mipango ya kampuni hiyo kwa mwaka 2015 ambapo imepanga kuwekeza sh. bilioni 221 katika mtandao wake kwa mwaka 2015. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha. KAMPUNI ya simu ya Tigo Tanzania imepanga kutumia kiasi …