Na Dotto Mwaibale WAPENZI wa soka nchini sasa watafaidi kwa kutazama Michuano ya Kombe la Dunia chini ya miaka 20 mwaka 2015 moja wa moja kwenye luninga zao kupitia ving’amuzi vya StarTimes pekee. Michuano hiyo ambayo itaanza kutimua vumbi tarehe 30 mwezi Mei na kumalizika tarehe 20 mwezi Juni mwaka huu moja kwa moja kutoka nchini New Zealand ambapo timu 24 za vijana kutoka mataifa mbalimbali …
Kaymu Partners With the Nyama Choma Festival Ticket Sales
TANZANIA – Kaymu, Tanzania’s number one online market place has partnered with the Nyama Choma festival to sell the events tickets online, of which the event will be held at the Leaders club on the 30th of May 2015. The tickets are available to anyone for a massive discountof only Tsh 5000, which is double the amount you will need …
Wananchi Vijijini Kunufaika na Mawasiliano ya Simu za TTCL
hafla uwekaji wa saini mikataba ya kupeleka mawasiliano ya simu kwenye maeneo ya vijijini. [/caption] KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) kuwapatia wananchi waishio vijijini zaidi ya Laki Moja mawasiliano ya Simu ifikapo mwaka 2016. Jumla USD 3.3 (sawa na Bilioni 6.8 Tsh) zitatumika kwa ajili ya kupeleka mawasiliano kwenye kata 41 zenye vijiji 41 kupitia ruzuku kutoka kwa Mfuko wa …
Kaymu Launches iOS Mobile App
TANZANIA’S leading online marketplace: Kaymu has launched its mobile app on the iOS. The mobile app is all set to make online shopping accessible to even more people, with great features that enable sellers to list products and buyers to select from a wide variety of products at a glance. The app will offer a wider product assortment, fast and …
Kaymu Introduces Cash on Delivery in Other Regions
KAYMU Tanzania’s number one online market place has now expanded its business by introducing the Cash on Delivery (COD) service to 9 other regions. Previously, the COD service was only available for those that live in Dar-es-Salaam, but now it stretches to those in Mwanza, Arusha, Dodoma, Mbeya, Morogoro, Tanga, Kilimanjaro, Mtwara and Zanzibar. Cash on Delivery (COD) service is …
Ijue Teknolojia Mpya Katika Sekta ya Rangi
KUFUATILIA kukua kwa teknolojia ya kompyuta kwa sasa sekta tofauti tofauti zimeweza kuchukua fursa hiyo na kuitumia ipasavyo katika maeneo ya msingi; sekta ya upakaji rangi pengine ni moja kati ya ambazo mtu hawezi kuzihusisha moja kwa moja na maendeleo hayo ila hata hivyo imeweza kuendana na mabadiliko na kuitumia teknolojia katika hatua tofauti tofauti kuanzia viwandani mpaka maeneo ya …