Coral Paints: Waanzilishi Rangi Rafiki wa Mazingira

INSIGNIA (Coral Paints) waanzilishi rangi rafiki wa mazingira nchini Tanzania Kuchagua rangi rafiki kwa mazingira wakati wa upambaji hakufanyi tu hewa ya ndani kuwa safi lakini pia hutunza mazingira. Hewa safi na nzuri ni jambo la kwanza kwa nyumba inayozingatia mazingira. Kwa Bahati mbaya, kuna matatizo makubwa sana ya kiafya yanayoletwa na sumu zinazowekwa katika rangi kwa lengo la kuongeza …

Zimbabwe Tourism on the Right Trac

Chief Executive of Zimbabwe Tourism Authority (ZTA), Karikoga Kaseke (Centre) briefing the International buyers who are attending the 8th edition of the Sanganai/Hlanganani–World Tourism Expo which is taking place in Harare International Conference Centre. Others from left is Mr. Wengayi Nhau the Representative from Zimbabwe Council for Tourism (ZCT ) , Executive Director Destination Marketing, Mr. Manjengwa Jefferies, Chief Operating …

E-commerce is the Turning Point to Any Business There is Today-Kaymu

RECENTLY Kaymu Tanzania had the opportunity to partner with the University of Dar-es-Salaam, in The 2015 UDBS Marketing Forum. The Forum was held on, Saturday, 6th June 2015, where potential marketers (marketing oriented students) met with the corporate practitioners. Kaymu Tanzania was amongst the many companies that were there on Saturday, to showcase and educate about their business. Kaymu had …

Sweden Kuendelea Kukuza Ushirikiano na Tanzania

Na Premiere Kibanga, Stockholm, Sweden NCHI ya Sweden imedhamiria kuukuza ushirikiano wake na Tanzania kwa Awamu mpya ambayo itaongeza uwekezaji na biashara zaidi. Rais na Mtendaji Mkuu wa Muungano wa wafanyabiashara wa Sweden, Business Sweden, Bi Ylva Berg amemueleza Rais Kikwete katika mkutano wa Business Sweden na Rais Kikwete, Juni 5, 2015 katika Kituo cha Biashara (World Trade Centre) jijini …

Kaymu Tanzania to Feature at The UDSM 2015 Marketing Forum

KAYMU Tanzania’s number one online marketplace, has once again partnered with the University of Dar-es-Salaam, this time in The 2015 UDBS Marketing Forum. The Forum is expected to take a single day, Saturday, 6th June 2015, where potential marketers (marketing oriented students) will meet with corporate practitioners. Students will get time to give their views on issues relating to marketing …

Samsung Wazinduwa Simu ya Ajabu Aina ya 4G LTE

Samsung Wazinduwa Simu ya Ajabu Aina ya 4G LTE NGULI wa vifaa vya umeme Samsung imeendelea na juhudi za kuimarika katika nafasi ya kwanza kwa uzinduzi wa simu zake mpya na za kushangaza za 4G LTE zilizo pewa jina la ‘Muvika’. Uzinduzi huu wa mara ya kwanza na wa aina yake nchini kwa upande wa simu za mkononi zenye teknolojia …