Meya Kinondoni Awakabidhi Soko Wafanyabiashara Ndogondogo

Na Mwandishi Wetu MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda amesema kuwa soko jipya la SIMU 2000 litaweza kuchukua wafanyabiashara 512 kutoka kila pembe ya Manispaa ya Kinondoni. Mwenda amewatoa hofu wafanyabiashara wa soko jipya la kituo cha basi cha Simu 2000 mawasiliano kuwa watafanya biashara bila ya kuwa na matatizo yoyote kwa kuwa soko hilo lipo katika mfumo …

TTCL Yaendelea Kukuza Matumizi ya Mawasiliano na Tehama

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) sasa inayawezesha wateja wake ikiwa ni pamoja na kampuni, taasisi na ofisi za Serikali kupata mawasiliano ya intaneti sehemu ambazo ziko mbali na njia ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwa njia ya Satelaiti. Akizungumza katika Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa, katika viwanja vya Mwalimu Nyerere, Sabasaba, Ofisa Mtatuzi wa …

Kongamano la Jumuia ya Wafanyabiashara Wanawake Lafanyika Dar

 Mwenyekiti wa Tanzania Business Entrepreneurs for Women,  Haika Lawere akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa Kongamano hilo lililofanyika Hoteli ya Mbezi Guarden Dar es Salaam.    Mwezeshaji wa Kongamano hilo, James Mwang’amba  akitoa mada.  Muwezeshaji wa kongamano hilo, Chriss Rupia (kulia), akitoa maelezo juu ya namna ya kuanzisha Kampuni na hatua mbalimbali ambazo mtu anatakiwa azifuata wakati wa kufungua …

Kaymu’s Mobile App is the Real Deal in Tanzania

SINCE the launch of its Android and Blackberry apps in September 2014, and the recent launch of its iOS app in May 2015, Kaymu has been pushing to improve and promote its mobile phone applications. Kaymu is offering unbelievable price discounts on so many products via the mobile app, in the celebration of this Saba Saba season. Products ranging from …

Fastjet Seeks Zimbabwe Domestic Routes…!

Head of Marketing, Fastjet, UK, Ms. Jai Gilbert, speaking to the Tanzanian Journalists who have been sponsored by Fastjet Airline to attend the 8th edition of the Sanganai/Hlanganani–World Tourism Expo which was held in Harare at the Rainbow Towers Hotel. Standing at the centre is Mpilo Nyathi a representative from Fastjet branch in Harare, Zimbabwe. A low cost airline operating …

What You Did Not Know About an Online Market Place

AN online marketplace is basically a website, where you can find products coming from multiple sellers, be it brands, shops or persons, in the same platform. The marketplace owner is responsible for attracting customers and keeping track of money transactions taking place. The third party vendor deals with manufacturing and shipping. This way, the marketplace avoids holding stocks, and the manufacturer …