ESAURP Yatoa Mafunzo kwa Wajasiliamali 150 Mkoani Kilimanjaro

Baadhi ya Wawezeshaji katika mafunzo ya Wajasiliamali 150 yanayofanyika katika chuo cha Ufundi Veta mkoa wa Kilimanjaro. Baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo. Badhi ya washiriki wa mafunzo hayo ya siku tano. Mjumbe wa  Bodi ya Taasisi ya fedha ya FSDT, Erick Masinda akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo. Baadhi ya wajasiliamali hao. Kaimu Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, …

E-commerce Overtaking Offline Retail…!

FOR anyone just discovering e-commerce, it may seem the industryis quite niche; that offline retail will forever remain the dominant sales channel. However, this assumption is being challenged, and quickly proven wrong in many parts of the world. Offline retail may seemingly have advantages, ranging from established players with historical knowledge of customer habits, physical displaysfor its products, placement in …

Kongamano la Diaspora Kuhamasisha Biashara Ndogondogo…!

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji cha Kimataifa (International Trade Centre UN-Agency) inafanya Maandalizi ya Kongamano la Diaspora (Tanzania Diaspora & SMEs Partnership Conference 2015). Kongamano husika litafanyika hapa Dar es Salaam, kuanzia tarehe 13 hadi 15 Agosti 2015 katika Hoteli ya Serena. Kongamano hilo litakuwa la pili kufanyika hapa nchini na litahusisha …

Insignia Limited Yapata Cheti cha Mazingira cha ISO 14000

KAMPUNI inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi nchini Tanzania ya Insignia Limited, inajivunia kutangaza kupata cheti cha ISO 14000, cheti cha kiwango cha kimataifa cha uwajibikaji katika usimamizi na uhifadhi wa mazingira. Viongozi wa kampuni walitangaza mafanikio hayo mjini Dar es Salaam. Cheti hicho cha ISO kilitolewa kuthibitisha viwango vya kampuni kufwatia dhamira yake katika shughuli za utunzaji wa mazingira. Mwaka …

No Traffic, as Ecommerce Refuses to Slow Down

WE are already past the halfway mark through the year, and it is clear that ecommerce won’t be slowing down anytime soon. More businesses are looking to establish online stores. According to Invesp, ecommerce sales are growing at 19% each year, worldwide. For shoppers, the plentiful benefits are well known. Shopping online saves time, offers a greater product selection and …

Jovago Reaches 25,000 Hotels in Africa…!

THE increasing number of travelers in Africa has led to most regions developing large numbers of hotel chains; in 2012 the brand of international hotels was 79 in North Africa and 129 hotels in Sub-Saharan Africa, this number is still growing with the aim of making the best visibility of all regions in Sub-Saharan and North Africa; (Africa Investor, Tourism …