Kenya-Tanzania Business Forum on October 6, 2015 in Nairobi,

 Executive Director of Tanzania Investment Centre Ms. Juliet Kairuki welcomes the President of Republic of Kenya H.E. Uhuru Kenyatta to the Forum  President of the Republic of Kenya  H.E. Uhuru Kenyatta arrives at the venue of the Kenya-Tanzania Business Forum. He is escorted by Kenyan Minister of Industrialization and Enterprise Development  Kenyan Minister of Industrialization and Enterprise Development and Managing …

Tanzania Yaongoza Duniani Kutoa Huduma za Pesa kwa Simu

TANZANIA ni nchi ya kwanza duniani kutoa huduma za pesa, kutoa mikopo na kutoa riba kwa kutumia mawasiliano ya simu, Benki ya Dunia imesema na kuongeza kuwa Tanzania ni moja ya masoko makubwa zaidi duniani ya kutoa huduma ya fedha kwa njia ya simu. Benki hiyo ya Dunia pia imesema kuwa Serikali ya Tanzania imewekeza kwa kiwango cha juu katika …

MO Ampiku Dangote Mfanyabishara Bora Afrika

Vinara wa biashara Afrika walipewa tuzo mbalimbali za African Business katika picha ya pamoja. Kuanzia kushoto ni Daphne Mashile Nkosi, Strive Masiyiwa, Helen Hai na Mohammed Dewji . hafla ya utoaji wa tuzo hizo ilifanyika hoteli ya Four Seasons Hotel mjini New York.(Picha na African Business). Na Mwandishi wetu, New York MTANZANIA Bilionea Mohamed Dewji amepata tuzo ya Mfanyabiashara Bora …

Kaymu Introduces Seller Commissions

THIS September, Tanzania’s leading online marketplace: Kaymu, has finally decided to introduce a small commission charged to all sellers on the platform. After more than one year of free service, Kaymu decided that it was the right time to start charging commission on every sale made. When Kaymu first started its operations, the company decided to offer all sellers a …

Balozi wa Luvtouch Manjano Atembelea Wajasiriamali

    Balozi wa Luv touch Manjano Irene Paul Katika Picha ya Pamoja na washiriki wa Semina ya ujasiriamlai ya wanawake kwa kupitia Vipodozi vya Luv Touch manjano iliyochini ya Manjano foundation.Lengo la Mradi huo ni kuona kwamba wanawake hawa wanajisimamia na kujikita vizuri kwenye Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara zao kwa lengo la kumuongezea ajira mwanamama …

Kaymu Reaches 5 Million Fans on Facebook

TANZANIA’S leading online marketplace: Kaymu, has reached the 5 million fans mark on Facebook. Thisbigachievement of gettingto 5 million Facebook fans, nowranks Kaymu as the36th biggest e-commerce page in theworld. Justtwomonthsago Kaymu ranked as the 45th. Thiscalculatesinto Kaymu gettinganaverage of more than 13,000 fans per day, more than 85,000 fans per week, and more than 371,000 fans per month, making …