Standard Chartered Tanzania Yapata Kiongozi Mkuu Mtanzania

  Sanjay Rughani anakuwa Mtanzania wa kwanza kuiongoza benki ya Standard Chartered Tanzania akipokea uongozi wa benki hiyo kutoka kwa aliyekuwa mkurugenzi wake, Liz Lloyd, ambaye amerudi katika makao makuu ya benki hiyo, London, kuchukua nafasi ya Mshauri wa Kisheria wa benki hiyo. Sanjay alijiunga na benki ya Standard Chartered Tanzania mwaka wa 1999 akiwa kama Meneja msaidizi wa kitengo …

Mtendaji Mkuu TPB Awahimiza Watanzania Kujiwekea Akiba

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Bw. Sabasaba Moshingi, (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta ya Akiba, Kenya, Bi.Anne Karanja, (Katikati), na Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Posta Uganda, Bw. Stephene Mukweli, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa mkutano wan ne wa Bodi ya Wadhamini, ya Umoja wa Mabenki ya Afrika Mashariki, ASBEA, uliomalizika Novemba 13, 2015 kwenye Hoteli ya …

TTCL Yawaumbua TEWUTA, Yadai ni Wapotoshaji Wenye Maslahi Binafsi

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imepinga madai yaliyotolewa na Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (TEWUTA) jana dhidi ya Menejimenti na Bodi ya Wakurugenzi ya TTCL na kufafanua kuwa madai hayo si ya kweli zaidi ya upotoshaji wenye nia ovu ya kufanikisha malengo binafsi na kutaka kuikwamisha jitihada za TTCL katika …

Mfumuko Bei za Vyakula Walitesa Soko Kuu Mwanza

Kwa takribani Wiki mbili sasa, Mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali kupanda katika Soko Kuu la Jijini Mwanza umeendelea kuwaliza watumiaji wa soko hilo. Mfumuko huo unalalamikiwa na pande zote mbili kwa maana ya wauzaji na wanunuaji sokoni hapo, ambapo wameomba hatua za haraka kuchukuliwa ili kiweka mambo sawa. Bei kwa nafaka zote sokoni hapo zimepanda bei hadi shilingi 1,000 …

TTCL Wazinduwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, Kuwatembelea Wateja Popote

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akisaini kitabu cha wageni katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo. Kampuni ya simu ya TTCL leo imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaanzia Oktoba 12 hadi 16, 2015. Ofisa …