WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepanga kufungua viwanda vya kusindika ngozi kwenye mikoa ya Shinyanga, Geita na Dar es Salaam ili kutoa soko kwa ngozi za wanyama wanaochinjwa kwenye machinjio ya mikoa hiyo. Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumatatu, Januari 18, 2016) wakati akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Botswana kwenye kikao kilichofanyika kwenye kituo cha mikutano ya kimataifa …
Wanawake 35 Dar Kunufaika na Mafunzo ya Ujarisiamali
Washiriki wa Mafunzo hayo wakisikiliza kwa Makini Mafunzo hayo.. Awamu ya Tatu ya Mafunzo ya Ujarisiamali kwa …
NMB Launches the Automation of Credit Scoring Tool and Credit Reference Bureau check
•Bank to process existing customer’s loans in one to four days •Over 700 credit applications per day NATIONAL Microfinance Bank Plc (NMB) has launched the first ever automation between its Credit Scoring tool and the database of the credit reference bureau (CRB’s) in Tanzania that will see the bank moving from manual way of extracting credit information from the CRB’s. …
Wateja NMB Kunufaika na Mkopo Ndani ya Siku 4, Yazinduwa Mfumo Mpya wa Taarifa
Na Aron Msigwa – MAELEZO BENKI ya NMB Plc leo imezindua mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa za wateja utakaotumika kwenye kanzi data ya Mikopo ya Benki hiyo (CRB’s) kwa lengo la kuwawezesha wateja wakubwa na wadogo wa wanaoomba mikopo kuipata ndani ya siku 1 hadi 4 tofauti na ilivyokuwa mwanzo. Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar …
Standard Chartered Tanzania Wins Bank of the Year Award
STANDARD Chartered Bank Tanzania Limited has been awarded the prestigious ‘Bank of the Year’ award at The Banker Awards 2015. This is the eighth time that the Bank is winning this award which was announced at a grand gala dinner programme held at an award ceremony in London last Wednesday evening. With more than fifty lenders operating within its borders, …
Wavuvi Ukanda wa Pwani wa Bahari ya Hindi Kunufaika na Uvuvi wenye tija
Jovina Bujulu- MAELEZO. Wavuvi waishio ukanda wa maeneo ya Pwani ya Bahari ya Hindi upande wa Tanzania Bara na Zanzibar wanatarajia kunufaika na elimu ya ukuzaji viumbe kwenye maji na teknolojia sahihi ya kupambana na mabadiliko ya tabia nchi kupitia mradi wa Udhibiti wa Uvuvi na Maendeleo Shirikishi Kusini Magharibi mwa Bahari ya Hindi (SWIOFISH). Hayo yamesemwa jijini Dar es …