CRDB Yalipa Bilioni 107 Kama Kodi ya Serikali 2015

Akizungumza na baadhi ya wakurugenzi na mameneja wa benki hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya miaka 20 ya utendaji wa benki hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Charles Kimei alisema wamefanikiwa kuifanya taasisi hiyo kuwa kinara wa kutoa huduma bora. Alisema amana za wateja wa benki hiyo zimeongezeka zaidi ya mara 100 kutoka sh. bilioni 40 walizoanza nazo mwaka 1996 hadi …

Tigo Tanzania Yatoa Huduma ya ‘WhatsApp’ Bure

 Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari na wageni waalikwa  mbalimbali wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo uliofanyika jana  Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam   Wafanyakazi wa Tigo na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakifurahia jambo  wa uzinduzi wa huduma ya whatsapp bure kwa wateja wa tigo iliyofanyika jana katika hotel …

NMB Yashiriki Maonesho ya Kongamano la Biashara Afrika Mashariki

Meneja Mahusiano Programu za Wakulima Wadogo wa Benki ya NMB Plc, John Machunda (kushoto) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Florens Turuka (wa pili kulia) alipotembelea banda la NMB katika maonesho ya biashara kwa wadau wa kilimo Afrika Mashariki yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo …

Jovago Kuwapeleka WanaValentine Ramada Hotel

KAMPUNI ya Jovago Tanzania ambayo ni wadau wakubwa wa sekta ya utalii nchini Tanzania imeahidi kuwapeleka wapendanao (Wana Valentine) kupumzika kwa siku moja kwenye Hoteli ya kisasa ya Ramada ya jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya wapendanao duniani (Valentine’s day). Akizungumza na wanahabari Meneja Uhusiano wa Jovago Tanzania, Lilian Kisasa alisema kampuni hiyo kwa kushirikiana …

TTCL Yaendelea Kutambulisha 4G-LTE kwa Wateja

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imeendelea na harakati zake za kimasoko kutambulisha intaneti yake yenye kasi na bora zaidi ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji la Dar es salaam ili kuwafikia watanzania walio wengi zaidi. Tangu kuzinduliwa kwa Huduma hii mwishoni mwa mwezi wa Desemba, 2015, wateja wengi wamefurahishwa na huduma hii kutokana na ubora wa intaneti, gharama nafuu ambayo …

TBS Yateketeza Bidhaa Hafifu Zenye Thamani ya Mil. 20

    Na Charity James SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeteketeza bidhaa hafifu na zilizokwisha muda wake zenye thamani ya sh. milioni 20 kutoka nchini Marekani na China. Akizungumza wakati wa uteketezaji wa bidhaa hizo,Dar es Salaam jana, Ofisa habari wa TBS, Roida Andusamile alizitaja bidhaa hizo kuwa ni dawa za meno, pampas, sabuni za kuogea na wipes. Alisema miongoni …