Biashara Ikupasayo Kufanya ni Ipi?

Na; Joseph Mayagila, AJTC Kwanini unapanga kufanya biashara hiyo? Au Kwanini unafanya biashara hiyo unayoifanya? Je ulikuwa umepanga kufanya biashara hiyo au umejikuta tu unafanya biashara hiyo kwasababu ya ugumu wa maisha au kwasababu huna namna nyingine? Zipo sababu mbalimbali zinazosababisha watu kufanya biashara wanazofanya. Ila katika kanuni za uchumi, ni vema unapochagua biashara uzingatie vigezo vifuatavyo: Kigezo cha kwanza …

Tigo Yafikisha 4G LTE Moshi

    Meneja wa huduma ya 4G LTE, Benedict Mponzi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) katikati ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kaskazini George Lugata na kulia kwake ni  Meneja Masoko wa kanda ya kaskazini  Kephar Kileo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema leo mjini Moshi. Moshi, Februari 24 2016. Wateja wa Tigo waishio Moshi sasa wanaweza kupata …

Anza Upya Leo Ufanikiwe

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Haijalishi umepitia magumu mangapi,mateso na manyanyaso,haijalishi umekataliwa mara ngapi ,haijalishi umekatishwa tama mara ngapi,haijalishi umeanguka mara ngapi chamsingi nyanyuka endelea kukaza mwendo kuyaelekea mafanikio yako. Inawezekana historia yako inakurudisha nyuma nataka nikuambie kwamba Historia yako haina nguvu kama maono uliyonayo ,kama mawazo mazuri uliyo nayo wala haifikii ndoto ulizonazo. Naamini kuwa maisha yako yanaweza kubadilika ukiamua sasa,historia …

NMB Yazinduwa Pamoja Akaunti Kusaidia Vikundi

  BANKI ya NMB kwa kushirikiana na Shirika la Care imeanzisha akaunti ya kikundi ijulikanao kama ‘NMB Pamoja Account’ itakayowasaidia wajasiliamali kwenye vikundi vidogo vidogo kuifadhi fedha zao salama na kuzitumia muda wowote bila vikwanzo tofauti na hapo awali ambapo vikundi hivyo vilikuwa vikiifadhi kwenye maboksi na chini ya mito ya vitanda majumbani mfumo ambao haukuwa salama. Akizungumza katika hafla …