Waziri Mkuu Majaliwa Akutana na Viongozi wa TRA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipekuwa baadhi ya nyaraka zinazoonyehsa jinsi wizi wa fedha za serikali uliofanywa kwenye bandari ya Dar es salaam ukihusisha mabenki wakati akizungumza na Mawakala wa Forodha na Bandari kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Machi 21, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipekuwa baadhi ya nyaraka zinazoonyehsa jinsi wizi wa fedha za serikali uliofanywa kwenye …

Waziri Profesa Mbarawa Aipongeza Kampuni ya TTCL

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, ameipongeza Kampuni ya simu TTCL kwa juhudi inazofanya katika kutoa huduma za Mawasiliano nchini na kuitaka kutumia kikamilifu fursa ilizonazo ili kujiendesha kibiashara na kutoa gawio kwa Serikali. Waziri Mbarawa ameyasema hayo Mkoani Morogoro Jumatatu hii alipokuwa katika ziara yake ya kukagua kazi zinazofanywa na Taasisi zilizo chini ya Wizara …

Maonesho ya Madini na Vito Kufanyika Mererani…!

  Na Woinde Shizza, Arusha   WACHIMBAJI wa madini ya vito nchini wametakiwa kushiriki katika maonyesho ya wachimbaji wadogo wa madini ili kuweza kutumia fursa hiyo ya kuuza na kupanua wigo wa kupata masoko ya ndani na nje ili kuweza kukuza uchumi wao na pato la taaifa.   Hayo yameelezwa leo na kamishina wa madini kanda ya kaskazini Elius Kayandabila wakati …

Balozi wa Uturuki, Yesemin Eralp Azinduwa Kampuni ya SkyPalm Travel & Tour

Alisema kuwa Tanzania imekuwa ikifanya vema kwenye sekta ya utalii huku ikiwa na vivutio vingi vya utalii vinavyovutia zaidi na kuwavutia watalii kutokea nchi mbalimbali. Aliongeza kuwa wageni kutokea nchi mbalimbali duniani wanahitaji huduma kutokea kwa kampuni bora zaidi itakayowahudumia kwa ufanisi na umakini. Kwa upande wake Mkuu wa Biashara wa kampuni hiyo Meysun Buyuksarac alisema kuwa kampuni hiyo imelenga …

UNCDF Launches Regional Consultations on Municipal Finance

– In collaboration with the Financing for Development Office of the United Nations Department of Economic and Social Affairs and the Government of Tanzania, UNCDF launched a global series of expert group consultations on municipal finance in Dar es Salaam, Tanzania on 29 February – 1 March 2016. The meeting brought together a unique set of practitioners, local government representatives, …

NMB Yazinduwa Kituo cha Biashara Mkoa wa Mbeya…!

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa NMB Business Center Mkoa wa Mbeya akizungumza na wafanyabiashara katika uzinduzi huo Mkuu wa Idara ya Biashara Bw. James Meitaron akimfafanulia jambo Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bi. Ineke Bussemaker. Anaeshuhudia katikati ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa benki hiyo Bw. Abdulmajid Nsekela. Mgeni rasmi …