TANZANIA CHAMBER OF MINERALS AND ENERGY PRESS STATEMENT MINING COMPANIES SIGNIFICANT CONTRIBUTORS TO ECONOMY, OPERATE TRANSPARENTLY Recently, the mining sector has seen negative media reports in relation to the way in which it operates. The Tanzania Chamber of Minerals and Energy (TCME) represents member companies involved in the mining sector, from explorers to large scale producers as well as medium …
Mtandao wa Tigo Sasa wa Pili kwa Ukubwa Tanzania
USHINDANI unazidi kupamba moto miongoni mwa kampuni za simu nchini ambapo katika kipindi cha miezi mitatu cha kati ya Oktoba na Desemba mwaka 2015, ni jumla ya watumiaji wapya 1,448,782 tu ambao walijisali kutumia huduma zao za mawasiliano. Ushindani huu ambao umechochewa na kuingia kwa kampuni mpya katika sekta ya mawasiliano Tanzania, umefikisha jumla kuu ya watumiaji wa huduma ya mawasiliano nchini kufikia …
Serikali na TTCL Kumiliki Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano Pamoja
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoani Kigoma wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani) alipotembelea ofisi hizo. Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoani Kigoma wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani) alipotembelea ofisi hizo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi …
Walionunua Nyumba za NSSF Mtoni Kijichi Watakiwa Kukamilisha Malipo
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Khyarara ametoa rai kwa wale Wote walionunua nyumba za Mtoni Kijichi kukamilisha malipo ya nyumba hizo ndani ya siku 30 na kama hawatafanya hivyo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao ikiwemo kunyang’anywa nyumba na kuuzwa kwa wanachama wengine. Mkurugenzi Mkuu huyo alisema, wapo watu wameshikilia nyumba na hawajakamilisha malipo kama mkataba unavyosema …
Waziri Mkuu Majaliwa Akutana na Wawekezaji Wa Sukari Kutoka India
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa Wawekezaji kutoka India wanaokusudia kuwekeza katika kilimo cha miwa na kiwanda cha sukari hapa nchini, Ofisini kwake jijini Dar es salaam jana machi 23, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Kilimo, Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa Wawekezaji kutoka India wanaokusudia kuwekeza katika …
Soko la Feri Latakiwa Kutafuta Gesi ya Bie Nafuu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Bodi ya soko la Kimataifa la Samaki la Feri, kukutana na makampuni mbalimbali yanayouza gesi ili kupata kampuni inayouza kwa bei nafuu zaidi lengo likiwa ni kuwapunguzia gharama wakaangaji wa samaki sokoni hapo. Pia Waziri Mkuu Majaliwa alimtaka Meneja wa soko hilo, Bw. Solomon Mushi kuhakikisha wanakuwa na kifaa maalumu cha kupimia ujazo wa mitungi …