AccessBank Yawaletea Wajasiliamali Akaunti Isiyo na Gharama Sabasaba

            BANKI ya ‘AccessBank’ inayoshiriki Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam imeendelea kutambulisha akaunti yake ya ‘RAHISI’ yenye mvuto mkubwa kwa wajasiliamali mbalimbali. Akizungumza leo kwenye Banda la AccessBank kwenye maonesho ya Sabasaba, Ofisa Masoko wa banki hiyo, Sijaona Simon alisema Rahisi …

Wateja NMB Sasa Kupata Huduma za Vifurushi vya Star Times…!

BENKI ya NMB Tanzania imeingia makubaliano ya kibiashara na kampuni ya Star Times ambapo kwa sasa wateja wa Star Times wanaweza kulipia huduma hizo kwenye tawi lolote la Benki ya NMB au moja kwa moja kwa wajeta wa NMB waliojiunga na huduma za kibenki kwa njia ya simu za mkononi. Ushirikiano huo umezinduliwa jijini Dar es Salaam Makao Makuu ya …

Tigo Tanzania Wazindua Huduma ya ‘NITIGOPESA’

TIGO Tanzania  imetangaza kwamba wateja kutoka mitandao yote  hivi sasa wanaweza  kutuma na kupokea  pesa kwa mteja yeyote wa Tigo nchini  kupitia huduma salama na ya uhakika ya Tigo Pesa. Hatua hiyo imetangazwa wakati wa  kuzindua kampeni mpya  inayojulikana, ‘NITIGOPESA’ ambayo lengo lake  kuu  ni kuhakikisha wateja kutoka mitandao yote mikubwa ya simu wanaweza kufanya  huduma zao za fedha kwa …

Kagame Kufungua Maonesho ya 40 ya Biashara Dar

  Na Dotto Mwaibale   RAIS Paul Kagame wa Rwanda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza Juni 28,2016 hadi Julai 8,2016 ambayo yatafunguliwa rasmi Julai 1,2016 na Rais huyo akiambatana na mwenyeji wake Rais Dk.John Magufuli.   Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar …