Benki ya Posta Yapata Faida ya Shilingi Bilioni 8.84 kwa Nusu Mwaka 2016

NUSU ya kwanza ya Mwaka 2016 iliyoisha mwezi Juni, imekuwa yenye mafanikio makubwa sana kwa Benki ya Posta Tanzania (TPB). Pamoja na changamoto mbalimbali ambazo bado zinaikabili benki yetu, kwa kipindi kirefu sasa, lakini Benki imefanikiwa kupata faida kabla ya kodi ya shilling bilioni 8.84 ukilinganisha  shillingi bilioni 5.48  zilizopatikana kipindi kama hicho mwaka 2015,ambayo ni sawasawa na ukuaji wa …

Benki ya Exim China Yaahidi Kushirikiana na Tanzania

  RAIS wa Benki ya Exim ya Nchini China Bw. Liu Liang amesema Benki hiyo itaendelea kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kufadhili miradi ya maendeleo ikiwa ni hatua ya kuendeleza ushirikiano uliopo kati ya Serikali ya China na Tanzania unaolenga kuboresha, kujenga na kuinua uchumi imara kwa wananchi wa Nchi hizo. Bw. Liang amesema hayo …

Dk Mengi Ampelekea Ujumbe Mzito Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

ILI kufikia malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025, Mwenyekiti wa Taasisi za Sekta Binafsi (TPSF), Dk. Reginald Mengi amemtumia Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ujumbe kupitia kwa Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama, ujumbe ambao anaamini kama ukifanyiwa kazi Tanzania itaweza kufikia malengo yake kwa haraka …

NMB Yaorodhesha Hati Fungani zake kwenye soko la hisa – DSE

            BENKI ya NMB leo imeorodhesha kiasi cha shilingi Bilioni 41.4 ilichokipata kutokana na mauzo ya hati fungani katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Tukio hilo limezinduliwa rasmi leo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Adelhelm Meru kwa ishara ya kupiga kengele kwenye …

Kampuni ya Tigo Yazinduwa Duka Jipya Mjini Kibaigwa

    Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini,Gwamaka Mwakilembe akitoa maelezo kuhusu simu zinazouzwa katika duka hilo jipya kwa Mkuu wa Wilaya mpya ya Kongwa, mjini Kibaigwa, Deogratius Ndejembi mara baada ya uzinduzi    wa duka jipya la kampuni ya Tigo.       Baadhi ya wakazi wa mji wa Kibaigwa wakishuhudia uzinduzi wa duka hilo mapema wiki iliyopita.    

Wananchi Kufanya Malipo ya Kodi za TRA Popote kwa NMB

WANANCHI sasa wanaweza kulipa malipo ya kodi mbalimbali za Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa kutumia Benki ya NMB. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati TRA na NMB walipokuwa wakiingia makubaliano, Mkuu wa Kitengo cha Miamala wa Benki ya NMB, Michael Mungure alisema ushirikiano huo umelenga kuwarahisishia raia ulipaji kodi. Alisema mwananchi anaweza kulipa kodi …