WAKAZI wa Ikwiriri mjini na vitongoji vya jirani sasa wanaweza kufurahia zaidi huduma za Tigo, kutokana na uzinduzi wa duka jipya la huduma kwa wateja la Tigo lililofunguliwa leo katikati ya mji huo. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa duka hilo, Mkurugenzi wa Tigo wa kanda ya Pwani , Goodluck Charles alisema, ufunguzi wa duka unaenda sambamba na mkakati wa kampuni wa kupanua …
CRDB Yawapeleka Waandishi wa Habari za Biashara Mafunzoni Kenya
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi tiketi za ndege kwa waandishi wa habari wa watatu waliopata udhamini wa benki hiyo kwenda Nairobi Kenya kuhudhuria mafunzo ya biashara na masuala ya fedha. Waandishi waliopata ufadhili huo ni Finnigan Simbeye (The Guardian, Abduel Elinaza (Daily News) na Samuel Kamndaya (The Citizen). Hafla hiyo ilifanyika …
NMB Yazindua AgriBiashara Kuboresha Huduma za Fedha Kwenye Kilimo
BENKI ya NMB imezindua mpango mkakati wenye thamani ya mabilioni kwa ajili ya kuboresha huduma zake za fedha kwa miaka mitano. Mpango mkakati huu hususan unahusu kupanua huduma za fedha kwenye mazao zaidi ya kilimo – kutoka matano mpaka zaidi ya 12. Mpango huu utatoa fursa ya huduma za fedha sio tu kwa wakulima …
TTCL Kuiunganisha TANROADS Nchi Nzima
WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Kampuni ya Simu Tanzania TTCL zimetiliana saini Mkataba wa huduma za Intaneti ambapo TTCL itaunganisha ofisi za Wakala hiyo nchi nzima kwa kutumia Mkongo wake wa Mawasiliano. Hafla ya kutiliana saini makubaliano hayo imefanyika leo katika ofisi za Makao Makuu ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na kuhudhuriwa na Mtendaji Mkuu (TANROADS), …
Serikali Yailipa Bharti Airtel Bilioni 14.9, TTCL Sasa Kazi Tu…!
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Profesa Makame Mnyaa Mbarawa amesema, Serikali imemalizana kimalipo na kampuni mbia wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) hivyo anataka kuiona TTCL ikizaliwa upya na kutoa ushindani wa hali ya juu katika soko la Mawasiliano nchini. Waziri Mbarawa ameyasema hayo Jijini Dar …
Prof Mbarawa Afungua Mkutano wa Nne wa Wadau wa Simu
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amezungumzia umuhimu wa wananchi wa mjini na vijijini kutumia simu ili waweze kunufaika na huduma mbalimbali za kimtandao zinazotumika hapa nchini. Akizungumza mara baada ya kufungua mkutano wa nne wa kimataifa wa chama cha kampuni za simu duniani GSMA mobile 360, Prof. Mbarawa amesema Serikali imejipanga kuhakikisha miundombinu ya mawasiliano …