Wajasilia Watakiwa Kujikita Katika Ufugaji wa Kuku

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Wajasiriamali nchini wametakiwa kujikita katika Ufugaji wa kuku wa Kienyeji na kisasa ili waweze kunufaika kiuchumi kufuatia ongezeko la uhitaji mkubwa wa mayai na nyama katika maeneo ya mengi hususan kwa wafanyabiashara wa vyakula. Hayo yameelezwa na Mjasiriamali Boniventura Shiyo anayejihusisha na ufugaji huo amesema kuwa kwa sasa biashara hiyo imemuongezea kipato ambacho anakitumia kujiletea maendeleo pamoja …

TTCL yajitosa Miss Higher Learning Institutions 2016

                Na Mwandishi Wetu, KAMPUNI ya Simu nchini Tanzania (TTCL) wameingia kama mdhamini mkuu wa mashindano ya urembo kutafuta mrembo toka vyuo vikuu nchini ‘TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016’ atakaye shiriki katika fainali za urembo kumpata mlibwende wa Tanzania 2016. TTCL wametangaza kuingia katika udhamini huo leo jijini Dar es Salaam ambapo …

SBL Kugharamia Elimu ya Vyuo Vikuu kwa Wanafunzi Wasiojiweza

    Meneja wa Miradi ya Jamii Hawa Ladha akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa kutangaza mpango wa kampuni hiyo kugharamia elimu ya vyuo vikuu kwa wanafunzi wanaotoka katika familia zisizo na uwezo ili kuwapa walengwa fursa ya kutimiza malengo na ndoto zao za kimaisha,kulia kwake ni Mkurungezi wa Mahusiano wa SBL John Wanyancha katika mkutano na …

Wateja Tigo Kugawana Bilioni 5.6 za Gawio la Tisa la Robo Mwaka

     KAMPUNI inayoongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali, Tigo imetangaza tena gawio la robo mwaka la shilingi bilioni 5.6 kwa watumiaji wa Tigo Pesa  ikiwa ni mara ya tisa kwa kampuni hiyo ya simu kugawa faida hiyo kwa watumiaji wake wa huduma ya fedha kwa njia ya simu.    Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es …

Tupo Tayari Kuwahudumia Wanaohamia Dodoma – TTCL

            Na Mwandishi Wetu, KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imesema ipo tayari kutoa huduma za Mawasiliano za kisasa kwa Taasisi za Umma zinazohamia mkoani Dodoma kama ambavyo imekuwa ikifanya kwa taasisi hizo jijini Dar Es Salaam kuzisaidia kutekeleza majukumu yao. Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dar Es Salaam na Meneja Mawasiliano wa TTCL, Bw. Nicodemus …

Jumia Travel Announces Its New Country Manager

  JUMUA Travel on Thursday announced Fatema Dharsee as the new Country Manager, to further develop the growing portfolio of the hospitality sector in Tanzania. Fatema comes with a wealth of experience and management skills within the industry, having spent many years with Jumia food, as the Head of Marketing in Communication Department. Fatema’s maiden entry into the leading online …