Wananchi Wailalamikia Tazara Kufunga Barabara ya Mombasa-Moshi Baa

   Mafundi wa Shirika la Mamlaka ya Reli  Tanzania na Zambia (Tazara), wakikarabati Reli katika makutano ya Reli na Barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam.  Wananchi wakivusha relini pikipiki yao.  Pikipiki ikivushwa.  Waendesha bodaboda wakivusha pikipiki zao kwenye reli baada ya kufungwa kwa muda barabara katika makutano ya Reli ya Tazara na Barabara ya Mombasa Moshi Baa …

UTT Yawafunda Wanachama Namaingo Business Agency

  Ofisa Mafunzo Kitengo cha Masoko kutoka Kampuni ya Uwekezaji UTT AMIS, Waziri Ramadhani akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wanachama wa Namaingo Business Agency kwenye uzinduzi wa Shamba la Ufugaji Sungura Majohe jijini Dar es Salaam. Ofisa Mafunzo kutoka Idara ya Uendeshaji UTT AMIS, Abbas Kandila (kulia), akiwaeleleza jinsi ya kujaza fomu za kujiunga Mfuko wa Uwekezaji …

TRA Yatoa Elimu ya Kodi kwa Waumini wa Gwajima

      Na Frank Shija, MAELEZO-Dar es Salaam WATANZANIA wameaswa kujenga utamaduni wa kulipa kodi na kudai risiti pindi wanapofanya biasha au kununua bidhaa ili kuisaidia Serikali kukusanya mapato kwa ajili ya kuendelea kutoa huduma za kijamii. Wito huo umetolewa jana Jijini Dar es Salaam na Afisa Mwandamizi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka …

Mdau wa Utalii Aeleza VAT Ilivyoathiri Biashara ya Utalii

  Kufuatia serikali kupitisha muswada wa ongezeko la VAT kwa watalii ambao wanakuja nchini kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali, mwandishi wetu amepata nafasi ya kufanya mahojiano na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Travel Partner, Erick Mashauri ili kujua ni kwa kiasi gani ongezeko hilo limeathiri biashara kwa makampuni yanayopeleka watalii mbugani na kwa sekta ya utalii kwa ujumla. Mashauri …

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Atembelea Kiwanda cha Tangawizi

  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wake wa kazi alipozuru wilaya ya Same.   Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Wilaya ya Same kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Staki Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe Rosemary Staki akitoa salamu kwa wajumbe wa …