BENKI ya Posta nchini (TPB) imezindua mwezi wa uwekaji akiba duniani inayokwenda sambamba na kampeni iliyopewa jina la “Asante Mteja”. Akizungumza Jijini Dar es Salaam jana katika uzinduzi huo, Meneja wa benki ya TPB tawi la Kariakoo, Patrick Swenya alisema kuwa kampeni hiyo itaendeshwa nchi nzima katika matawi yao. Alisema, lengo la kampeni hiyo ni kuhamasisha wateja wa …
Makonda Azitaka Taasisi na Mashirika ya Umma Kutumia Huduma za TTCL
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amezitaka taasisi na mashirika ya umma yaliopo chini ya mkoa wake kuiunga mkono Kampuni ya Simu ya kizalendo Tanzania (TTCL) kwa kuanza kuzitumia bidhaa za kampuni hiyo hasa kwenye shughuli za mawasiliano ili kuonesha uzalendo kwa vitendo. Makonda ametoa kauli hiyo leo Makao Makuu ya TTCL …
TRA Yakusanya Milioni 84.6 Mwezi Agosti
Na Ally Daud-MAELEZO MAMLAKA ya mapato nchini (TRA) imefanikiwa kukusanya asilimia 92 sawa na shilingi milioni 84.618 kwa mwezi Agosti mwaka huu ikiwa ni katika kutimiza lengo la kukusanya bilioni 1 na kuendelea kila mwezi kwa Mkoa wa kodi Ilala. Hayo yamesemwa na Afisa Elimu na Huduma wa TRA Mkoa wa kodi Ilala Bw. Zakeo Kowero katika semina iliyofanyika jijini …
Rais Magufuli Kununua Ndege Nyingine Mbili
Na Sheila Simba, MAELEZO – Dar es Salaam RAIS wa Tanzabia, Dk. John Magufuli amesema Serikali imejipanga kununua ndege mbili aina Jet zenye uwezo wa kubeba abiria 160 na 242 pamoja na kutenga Tsh. Bilioni 100 kwa ajili ya ukarabati viwanja vya ndege nchini. Alisema hayo leo Jijini Dar Es Salaam wakati wa uzinduzi wa ndege mpya mbili za …