Na Frank Shija, MAELEZO WAFANYABIASHARA kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wafurahishwa na hatua zilizochukuliwa na Serikali ya Tanzania katika kuondoa vikwazo vya usafirishaji wa mizigo kupitia Bandari ya Dar es Salaam. Hayo yamebainishwa na Rais wa Wafanyabiashara wa Congo waishio nchini Tanzania Bw. Sumaili K. Edward alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kurejea kwao na kutumia Bandari …
Benki ya CRDB Yakata Keki na Wateja Tawi la Quality Center
“Tukiwa tunasherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa mwaka 2016, tunajivunia kuwa sehemu ya maendeleo na mafanikio yako ya Familia yako,tunaahidi kukupatia suluhisho la masuala ya kibenki ambayo si tu kuongeza kasi ya ukuaji wa biashara zako, lakini pia kukuhamasisha wewe kufanikiwa zaidi,” ilisema taarifa hiyo ya CRDB. CRDB iliwashukuru wateja kwa kuichagua Benki ya CRDB na kwamba matumaini yao ni kuendelea kufurahia huduma zao …
StarTimes Waleta Chaneli Mpya Kunogesha Wateja…!
Meneja wa Ufundi wa StarTimes Tanzania, Yusuph Baracha (kushoto) akiwaelekeza wateja walipotembelea chumba cha kurushia matangazo ya chaneli mbalimbali zinazopatikana kupitia king’amuzi cha kampuni hiyo wakati wa hafla fupi kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja. Katika kuadhimisha wiki hiyo StarTimes imezindua chaneli mpya tatu ambazo ni ST Bollywood Africa, ST Bollywood na FOX Life. Na Dotto Mwaibale KATIKA kuadhimisha …
TTCL Yafungua Kituo Kipya cha Huduma kwa Wateja Ubungo, Dar
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imezinduwa kituo kipya cha huduma kwa wateja kilichopo katika Jengo la Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, kituo kitakacho toa huduma kwa wateja mbalimbali wa kampuni hiyo pamoja na wananchi wengine wanaoitaji huduma za TTCL. Akizinduwa kituo hicho, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri Waziri Kindamba alisema uzinduzi …
Wateja Banki ya UBA Tanzania Wavutiwa na Huduma…!
Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Bank ya UBA Tanzania, Bw Chriss Byaruhanga akizungumza machache wakati wa kuzindua wiki ya huduma kwa wateja katika Benki ya UBA Tanzania Mapema jana asubuhi. Wiki hii ni wiki ya huduma kwa wateja duniani ambapo Bank ya UBA Tanzania imedhamiria kutoa wafanyakazi shupavu ambao watawahudumia vyema wateja wao na kufurahia huduma za benki hiyo inayofanya …