Analysis of E-Commerce Trends in Tanzania…!

    JUMIA Market intends to educate e-commerce entrepreneurs as well as those who are, in any other way, associated with this rapidly developing industry in the country. One of the key focuses for E-commerce is understanding online shopping behavior/trends of customers and monitoring them in order to better align services with new customer trends. Knowing why consumers behave the …

TPB Mbeya Yachangia Ujenzi Mkoa Mpya wa Songwe

  Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa mifuko ya cement 125 kutoka benki ya Posta Tanzania (TPB) Tawi la Mbeya, hafla ambayo imenyika katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Songwe Octobar 18 mwaka huu.   Mkuu wa Wilaya ya Mbozi John Palingo akishukuru mara baada ya kupata msaada kutoka …

Namaingo Kunufaisha Wananchi 3,000 Ufugaji Kuku Mkoani Lindi

      KAMPUNI ya Namaingo Business Agency (T) LTD, mwezi ujao inazindua mradi mkubwa wa ufugaji kuku chotara wenye thamani ya sh. bilioni 30 utakaowawezesha wananchi 3000 wa mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Ubwa Ibrahim  amesema …

Bombadier ya ATCL Yatua Arusha kwa Majaribio…!

  Moja ya Ndege mpya ya serikali iliyokodishwa kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombadier  Dash 8 Q400 ikitua kwa mara ya kwanza katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha wakati maafisa wa Mamlaka ya Anga (TCAA) walipokua wakifanya ukaguzi kabla ya kuanza rasmi safari za kibiashara nchini. Maafisa wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) wakilakiwa katika uwanja mdogo …

Wilaya ya Ukerewe Yaneemeka na Meli Mpya Nyehunge II

“Naamini kivuko hiki kitakuwa ni mkombozi kwa wakazi wa Ukerewe kwani uhitaji wa wakazi wa Ukerewe kuhitaji huduma nzuri na salama ya usafiri ni mkubwa hivyo tunaamini  kivuko hiki kitatumika kwa maeneleo ya wanaUkerewe”. Alisema Mongella na kuongeza kwamba hiyo ni fursa kwa wafanyabiashara wa Ukerewe kutumia Kivuko hicho katika shughuli mbalimbali za kibiashara. Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John …

TTCL Kuendelea Kuboresha Miundombinu ya Mawasiliano

                  Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imesema itaendelea na utekelezaji wa kuboresha miundombinu ya mtandao wake wa simu za mezani, mkononi pamoja na huduma za data ili kutoa huduma iliyo bora zaidi kwa wateja wake na kufikia kiwango cha hali ya juu katika kutoa huduma za Mawasiliano nchini. Kauli …