Benki ya Maendeleo Yadhamini Shindano la Gospel Star Search

Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Benki ya Maendeleo, Peter Tarimo akisaini mkataba wa udhamini wa shindano la Gospel Star Search (katikati) huku meneja wa Mrado huo wa GSS, Samwel Sasali (kushoto) akishudia tukio hilo lililofanyika leo hoteli ya Regency jijini Dar es Salaam. Siku Ya Leo Kamati Ya Gospel Star Search na Kampuni 2…..Maendeleo Bank na Grace …

Serikali Yaomba Maoni juu ya Uendeshaji Wake

Na Ismail Ngayonga MAELEZO SERIKALI imeanza kupokea maoni na ushauri kutoka kwa asasi za kiraia, sekta binafsi na wananchi kuhusu maboresho ya rasimu wa mpango kazi wa kitaifa wa uendeshaji wa shughuli za Serikali kwa uwazi wa Awamu ya tatu (2016/17 -2017/18). Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Susan …

Watoa Taarifa za Uhalifu na Mashahidi Kulindwa

Na. Fatma Salum – MAELEZO. Dar es salaam. Serikali imeanza kutekeleza Sheria ya Kuwalinda Watoa Taarifa za Uhalifu na Mashahidi ya mwaka 2016 (The Whistleblower and Witness Protection Act. 2016) ili kuimarisha utawala bora na mapambano dhidi ya uhalifu nchini. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Msaidizi Utekelezaji wa Katiba kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Kamana Stanley wakati akizungumza na …

Tanzania Yakabidhiwa Uenyekiti wa SADC Organ…!

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Augustine Mahiga akimtambulisha Balozi Innocent Shiyo kwa Rais wa Shelisheli, Alix Michel. Rais wa Shelisheli, Alix Michel akiwa kwenye kikao na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Baloz Dk. Augustine Mahiga nchini Shelisheli.   Waangalizi wa uchaguzi wa wabunge wa Shelisheli katika picha ya pamoja na …

Rais Magufuli Azuru Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Septemba, 2016 ameendelea na ziara yake Visiwani Zanzibar ambapo majira ya Asubuhi amezuru Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amaan Karume lililopo kando ya Ofisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) eneo la Kisiwandui Zanzibar. Rais …