TPB Yatoa Msaada wa Madawati Shule ya Msingi Mbande

          BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imetoa msaada wa madawati 43 yenye thamani ya Milioni 3.5 kwa Shule ya msingi Mbande iliyopo kata ya Chamanzi Wilaya ya Temeke. Akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya madawati hayo mwishoni mwa wiki Ofisa Mawasiliano wa TPB Chichi Banda, alisema shule hiyo ilituma maombi kwao kwa ajili ya kutatuliwa changamoto …

Chadema Kulifikisha Mahakama Kuu Jeshi la Polisi…!

   Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho Kinondoni Dar es Salaam leo mchana, wakati akitoa madai ya kushikiliwa kwa wafuasi wa chama hicho zaidi ya 70 wasiofahamika na wengine 10 katika vituo mbalimbali vya polisi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za …

Mradi Kuongeza Ujuzi na Idadi ya Wakunga Wazinduliwa

  Kaimu Katibu Tawala mkoani Mwanza, Projestus Rubanzibwa, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza, kwenye kikao cha Utambulisho wa Mradi wa kuongeza Ujuzi na Idadi ya Wakunga katika maeneo ya Vijijini katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Magharibi, kilichofanyika hii leo Jijini Mwanza. Amesisitiza kwamba Wakuu wa Vyuo vya vya Ukunga nchini wanao wajibu …

Waziri Ummy Awabana Wauzadawa Wasio na Sifa Nchini

Na Mwandishi Wetu – Dodoma WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Famasia nchini kuanza kazi ya kuhakiki vyeti vya wauza dawa (wafamasia) katika maeneo mbalimbali nchini ili kudhibiti na kuwaondoa wauza Dawa wasio na sifa ya kufanya kazi hiyo kwenye maduka ya dawa. Pia ameligiza Baraza hilo kuwachukulia hatua kali …

UNESCO Yazinduwa Ripoti ya Ufuatiliaji wa Elimu Duniani…!

   Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bi. Zulmira Rodriguez akielezea siku ya kisomo duniani na dhumuni la UNESCO kuanzisha siku hiyo.  Kaimu Kamishna wa Elimu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Bw. Nicholaus Bureta akizungumzia juhudi za serikali za kuhakikisha kila mtanzania anajua kusoma.   Mkurugenzi Msaidizi …

Wanachama EAC Waomba Miezi Mitatu Kujadili EPA

  Na Immaculate Makilika na Abushehe Nondo, MAELEZO-Dar es Salaam WAKUU wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekubaliana kutumia kipindi cha miezi 3 hadi Januari mwakani ili kuupitia upya mkataba wa mahusiano ya kiuchumi na kibiashara kati ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Ulaya (EPA) kabla ya kukubaliana na baadhi ya vipengele vya mkataba huo. Akizungumza katika …