Na Frey Mgunda, Iringa MBUNGE wa Jimbo la Iringa mjini Mchungaji Petter Msigwa amekabidhi madawati hayo 537 ambayo ameyatoa katika jimbo lake yataweza kuwa mkombozi mkubwa kutokana na kuweza kuwasaidia wanafunzi waliokuwa wanakabiliwa na chanagamoto ya kusoma katika mlundikano mkubwa na baadhi yao walikuwa wanakaa chini ya sakafu. Aidha Msigwa katika hotuba yake ya kukabidhi madawati hayo amewataka viongozi …
Balozi Awaasa Watanzania Kutunza Mazingira…!
Kutokana na kuwepo na shughuli nyingi za kibinadamu ambazo zinaharibu mazingira, watanzania nchini kote wametakiwa kuwa makini kwa kutunza mazingira yanayowazunguka ili kuepusha matatizo ambayo yanaweza kutokea kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo vya uharibifu mazingira. Rai hio imetolewa na Balozi Mwakilishi wa Mashirika ya Kimataifa Geneva, Uswisi, Modest Mero katika warsha ya kujadili kuhusu kilimo na biashara iliyoandaliwa na Taasisi …
Rais Magufuli Amtumbua Mwenyekiti wa LAPF
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 21 Septemba, 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof. Hasa Mlawa kuanzia leo. Pamoja kutengua uteuzi wa Prof. Hasa Mlawa, Rais Magufuli amevunja Bodi ya Udhamini ya Mfuko huo. Uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Udhamini ya …
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Azungumza na Wananchi Wake
Mbunge wa Simanjiro James Ole Milya akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Emboreet mara baada ya kuzindua madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilokua la kiserikali la Wings of Kilimanjaro. Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya akishikana mikono na Mwanamuziki wa nchini Marekani Kristie Cooter ishara ya uzinduzi wa madarasa manne katika shule hiyo yaliyojengwa …
Utalii wa Ndani Kwa Watanzania ni Jambo Lakujivunia
Watalii wa Ndani na Nje ya nchi wakitazama tembo katika Hifadhi ya Tarangire ,hifadhi hiyo ina vivutio vingi ikiwemo Twiga ,Nyumbu na Pundamilia.Picha na Ferdinand Shayo
Askari Polisi ‘Waadilifu’ Kilimanjaro Wazawadiwa…!
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadiq akipokea salamu za heshima kutoka kwa askari wakati wa gwaride maalum lililoandaliwa wakati wa hafla fupi ya kutunuku zawadi kwa askari 34 wa vyeo mbalimbali waliotekeleza vyema majukumu yao.kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ,Wilbroad Mutafungwa. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Saidiq akikagua gwaride la heshima baada ya kuwasili …