RAIS Dk Magufuli Kuzindua Ndege Mbili Mpya za Serikali

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombardier Q 400 zilizonunuliwa na Serikali hivi karibuni. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dk. Leornard Chamuriho amesema maandalizi yote kwa ajili ya uzinduzi wa ndege hizo yamekamilika na uzinduzi huo utafanyika katika Uwanja …

Wanasiasa Watakiwa Kufuata Nyayo za Baba wa Taifa, Nyerere

  Na Fredy Mgunda, Musoma VIONGOZI wa vyama vya Siasa wametakiwa kuiga kwa vitendo uzalendo na moyo wa kujitoa aliokuwa nao Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake ili kuliwezesha Taifa kupiga hatua kimaendeleo. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Bw. Haji Mnasi ambaye kitaaluma ni mwalimu mara baada kutembelea Kaburi …

Panya Road Waibuka Tena Dar Maeneo ya Moshi Baa

  Na Dotto Mwaibale   KUNDI la uhalifu la watoto wenye umri kuanzia miaka 18 hadi 25 maarufu kama panya road linatishia usalama wa wananchi na mali zao maeneo ya Moshi Baa na vitongoji vingine katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.   Kufuatia kukithiri kwa vitendo hivyo katika kipindi kisichopungua wiki mbili tayari watoto watatu walikuwa wakidaiwa kuhusika …

Wananchi Wailalamikia Tazara Kufunga Barabara ya Mombasa-Moshi Baa

   Mafundi wa Shirika la Mamlaka ya Reli  Tanzania na Zambia (Tazara), wakikarabati Reli katika makutano ya Reli na Barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam.  Wananchi wakivusha relini pikipiki yao.  Pikipiki ikivushwa.  Waendesha bodaboda wakivusha pikipiki zao kwenye reli baada ya kufungwa kwa muda barabara katika makutano ya Reli ya Tazara na Barabara ya Mombasa Moshi Baa …

Rais Dk Magufuli Aibukia Bandari ya Dar, Atoa Maagizo…!

          PICHA NA IKULU   RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Septemba, 2016 ametembelea Bandari ya Dar es Salaam na kuzungumza na wafanyakazi wa bandari hiyo ambapo pamoja na mambo mengine ametoa miezi miwili kwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kununua mashine nne za kukagulia mizigo bandarini (Scanning Mashine). …

TRA Yatoa Elimu ya Kodi kwa Waumini wa Gwajima

      Na Frank Shija, MAELEZO-Dar es Salaam WATANZANIA wameaswa kujenga utamaduni wa kulipa kodi na kudai risiti pindi wanapofanya biasha au kununua bidhaa ili kuisaidia Serikali kukusanya mapato kwa ajili ya kuendelea kutoa huduma za kijamii. Wito huo umetolewa jana Jijini Dar es Salaam na Afisa Mwandamizi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka …