Amiri Jeshi Mkuu Magufuli Katika Medani za ‘Kivita’…!

      RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 30 Septemba, 2016 amefunga maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kushuhudia zoezi la medani liitwalo ”Amphibious Landing” lililofanyika katika Kijiji cha Baatini Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani. Zoezi hilo lililochukua muda wa wiki mbili, limeshirikisha …

Benki ya TPB Yachangia Madawati Serengeti

    BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imetoa mchango wa madawati na viti 50 vyote vikiwa na thamani ya shilingi Milioni Nane kwa Shule ya Sekondari ya Ikoma, iliyopo Wilayani Serengeti Mkoani Mara. Mchango huo wa madawati ulikabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Nurdin Babu na Afisa Mtendaji Mkuu wa (TPB) Sabasaba Moshingi, kwenye hafla fupi iliyofanyika shuleni hapo. …

Ujenzi wa Barabara za Juu Tazara Kukamilika kwa Wakati

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Kampuni ya kikandarasi ya Sumitomo Mitsui inayojenga mradi wa ujenzi wa barabara ya juu (Flyover) katika makutano ya barabara ya Nyerere na Mandela eneo la Tazara kumaliza ujenzi huo kwa wakati mradi huo ili kusaidia kupunguza tatizo la msongamano. Akizungumza mara baada kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi …

TRA Yakusanya Milioni 84.6 Mwezi Agosti

Na Ally Daud-MAELEZO MAMLAKA ya mapato nchini (TRA) imefanikiwa kukusanya asilimia 92 sawa na shilingi milioni 84.618 kwa mwezi Agosti mwaka huu ikiwa ni katika kutimiza lengo la kukusanya bilioni 1 na kuendelea kila mwezi kwa Mkoa wa kodi Ilala. Hayo yamesemwa na Afisa Elimu na Huduma wa TRA Mkoa wa kodi Ilala Bw. Zakeo Kowero katika semina iliyofanyika jijini …

SSRA Yasema Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Haina Hali Mbaya

 Mkurugenzi wa Tafiti, Sera na Tathmini wa SSRA, Ansgar Mushi akitoa mada katika warsha hiyo.  Taswira meza kuu katika semina hiyo. Na Dotto Mwaibale   MAMLAKA ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii nchini (SSRA), imewataka Watanzania kuondoa hofu iliyojengeka kwenye jamii kuwa mifuko ya hifadhi ya jamii ina hali mbaya kifedha.   Akizungumza katika warsha maalum ya siku …