Na Mathias Canal, Kilimanjaro MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Rosemary Staki Senyamule amejumuika na wananchi wa Kata ya Vudee katika shughuli ya uchimbaji wa barabara ya Bureni Iramba-Kwanamburi iliyopo katika kijiji cha Bureni Iramba. DC Staki amejitokeza katika shughuli hiyo ikiwa ni muendelezo wa kujumuika pamoja katika shughuli za maendeleo ya wananchi na kuwahamasisha kujitokeza katika kufanya …
Profesa Mbarawa Awakoromea TEMESA Juu ya Mapato
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameuagiza uongozi wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA), kuhakikisha wanaweka mipango madhubuti ya kuongeza mapato katika vivuko vya MV. Kigamboni na MV. Magogoni kutoka Shilingi Milioni 14 ambazo zinakusanywa hivi sasa hadi kufikia Milioni 19 kwa siku. Akizungumza jijini Dar es Salaam mara baada ya kukagua vivuko …
Mkuu wa Mkoa Arusha Atumbua Watatu Halmashauri ya Ngorongoro
Na Mwandishi wetu, MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Mashaka Gambo, amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za uchaguzi wa mwaka 2015. Watumishi hao ni pamoja na Bi. Hadija Mkumbwa ambaye alikuwa msimamizi wa uchaguzi wa mwaka 2015 na kumfuta cheo hicho, Evansi Mwalukasa alikuwa mwekahazina wa halmashauri na Sembeli Sinayo yeye alikuwa mwanasheria wa halmashauri. …
Rais Kabila wa Kongo Azungumza na Rais Dk Magufuli Ikulu Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 4, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulisha viongozi kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabila Ikulu jijini Dar …
TTCL Yafungua Kituo Kipya cha Huduma kwa Wateja Ubungo, Dar
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imezinduwa kituo kipya cha huduma kwa wateja kilichopo katika Jengo la Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, kituo kitakacho toa huduma kwa wateja mbalimbali wa kampuni hiyo pamoja na wananchi wengine wanaoitaji huduma za TTCL. Akizinduwa kituo hicho, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri Waziri Kindamba alisema uzinduzi …