Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Chapinga Hukumu ya Kifo

 Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji, Imelda Urio (kulia), akisisitiza jambo kwenye mkutano huo.  Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa LHRC, Anna Henga akizungumza katika mkutano huo.  Mkutano na waandishi wa habari ukiendelea.   Na Dotto Mwaibale   KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimefungua kesi ya kikatiba kuhusiana na ulinzi wa haki ya kuishi na urekebishwaji wa sheria ya …

Dawa Muhimu Sasa Kupatikana Saa 24

  Na Ally Daud-MAELEZO DAWA muhimu za binadamu zinapatikana kwa wingi katika Bohari kuu ya dawa MSD kwa masaa 24 zikiwemo dawa za kutibu Malaria, Kifua kikuu, Ukoma, ARV , dawa za kutuliza maumivu pamoja na Anti- biotic ili kutimiza na kutekeleza sera ya mpango wa Afya wa awamu ya tano. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, …

TTCL Kuendelea Kuboresha Miundombinu ya Mawasiliano

                  Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imesema itaendelea na utekelezaji wa kuboresha miundombinu ya mtandao wake wa simu za mezani, mkononi pamoja na huduma za data ili kutoa huduma iliyo bora zaidi kwa wateja wake na kufikia kiwango cha hali ya juu katika kutoa huduma za Mawasiliano nchini. Kauli …

Waziri Mbarawa Ampiga Biti Mkandarasi Mchina

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ametoa wiki mbili kwa mkandarasi wa Kampuni ya Chongqing International Construction Corporation (CICO), kutoka China anayejenga barabara ya Tabora- Sikonge (Usesula) yenye urefu wa kilometa 30 kuongeza vifaa vya ujenzi katika eneo la mradi na kuhakikisha ujenzi wake unatekelezwa kwa kasi na kukamilika kwa wakati. Akizungumza mara baada ya …

NEC Yapongezwa kwa Programu ya Elimu ya Mpiga Kura

Baadhi ya Wanachi wakifuatilia ufunguzi rasmi wa maadhimisho ya Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere wilayani Bariadi mkoani Simiyu leo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Muhagama akipata maelezo kuhusiana na Elimu ya Mpiga Kura alipotembelea Banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) …

NMB Mlimani City Wasaidia Watoto Yatima Kituo cha Chakuwama

   Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mlimani City, Seka Urio akiwa amembeba mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo  cha Yatima cha Chakuwama kilichopo Sinza wakati wa hafla fupi ya kutoa msaada iliyofanyika Dar es Salaam leo.  Katibu Mtendaji wa Kituo hicho, Hassan Hamisi (kulia), akitoa historia fupi ya kituo hicho.  Baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo, wakiwa wamewabeba watoto katika hafla …