Wakazi wa Kijiji cha Kisesa Kata ya Vudee wakishuhudia zoezi la uteketezaji wa shambala Mirungi Mkulima wa zao la Mirungi Johnson Charles Kangara akiwa ameshika mafuta ya taa tayari kwa ajili ya kuteketeza shamba lake la Mirungi Shamba la Mirungi likiteketea baada ya agizo la Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe Rosemary Staki Na Mathias Canal, Kilimanjaro MWISHONI mwa …
Tamwa na Tamko la Siku ya Mtoto wa Kike Duniani
MAADHIMISHO ya Kimataifa Siku ya Mtoto wa kike Duniani yalitangazwa na Umoja wa Mataifa mwaka 2011. Maadhimisho ya kwanza ya siku hii yalifanyika Oktoba 2011, TAMWA inaupongeza Umoja wa Mataifa kuanzisha Siku hii muhimu ambayo imelenga kuikumbusha jamii juu ya malezi bora ya mtoto wa kike. Siku hii ya mtoto wa kike ni siku pekee ya kuikuimbusha jamii kuhusu …
Tanzania Yafanya Utafiti Mbegu ya Mahindi Meupe kwa GMO
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dk. Hassan Mshinda, akizindua utafiti huo katika Kituo cha Utafiti cha Makutupora mkoani Dodoma juzi. Watafiti kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), na Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi wakiwa tayari kwa upandaji wa mbegu hizo katika Kituo cha Utafiti cha Makutopora mkoani Dodoma. Mratibu …
Serikali Kuongeza Mabehewa ya Abiria na Mizigo TRL
SERIKALI imesema itaongeza mabehewa ya abiria na mizigo katika Shirika la Reli la Tanzania (TRL), kwa lengo la kutatua adha ya usafirishaji kwa watumiaji wa reli ya kati katika mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi. Akizungumza katika ziara yake ya kikazi mkoani Tabora, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa uhaba wa mabehewa ya …
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa Mwezi Septemba Washuka
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Ephraim Kwesigabo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar eas Salaam leo, kuhusu mfumuko wa bei ya taifa kwa mwezi Septemba 2016. Na Dotto Mwaibale MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba, 2016 umepungua hadi asilimia 4.5 kutoka …
Naibu Waziri Anastazia Wambura Azungumza na Wawekezaji Wachina
Naibu Waziri, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura (kushoto) akisalimiana na Afisa Mkuu wa Kampuni ya StarTimes Bw. Leo wakati alipokutana naye kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano leo 10/10/2016 Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Viongozi na watendaji wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na wawekezaji wakifuatilia mazungumzo …