Kila Mtu Ana Deni la Kulipa Hata Kama Hujakopa

Na; Ferdinand Shayo Kila mtu duniani ana deni la kulipa hata kama hudaiwi na benki,vikoba ama mtu binafsi bado duniani inakudai .Inakudai kwasababu umekuja duniani na kitu maalumu ambacho unapaswa kukitoa duniani ili kilete manufaa fulani. Tumezaliwa tuko duniani kuijaza dunia na kuipa dunia vitu ambavyo dunia haina ,vitu vipya na vya kitofauti na vya kiubunifu.Fikiri Hapo zamani dunia ilikua …

Vongozi wa Mila Watakiwa Kutatua Migogoro

Na; Ferdinand Shayo,Simanjiro. Viongozi wa Mila wa jamii ya Wamasai wametakiwa kusuluhisha na kutatua migogoro ya ardhi,maeneo ya malisho pamoja na wizi wa mifugo ili kuepusha uvunjifu wa amani na kuzorota kwa maendeleo kunakosababishwa na migogoro hiyo. Hayo yameelezwa na Wazee wa Mila Peter Toima na Lemamiye Shininii wakati wa sherehe za kuhama rika ambao Maelfu wa vijana kutoka Wilaya …

Bodi ya Mfuko wa Barabara Yabaini Madudu, Manispaa Kinondoni…!

    BODI ya Mfuko wa Barabara imesitisha kutoa fedha na kusimamisha miradi yote ya ujenzi wa barabara zinazogharamiwa na bodi hiyo kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa kile kubaini matumizi mabaya ya fedha zinazotolewa na mfuko huo ikiwamo kiwango kibovu cha barabara zinazojengwa katika manispaa hiyo. Bodi hiyo imesitisha malipo hayo na kusimamisha miradi hiyo leo jijini Dar …

Daraja Hatari Tabata Kimanga Lahatarisha Maisha ya Watoto

Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Amani, Jonathan Mlay akimuonesha mwandishi wa mtandao huu, daraja la miti wanalolitumia lililojengwa kwa nguvu za wananchi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto hiyo.     Na Dotto Mwaibale   WANANCHI wanaoishi mpakani mwa Tabata Kimanga na Chang’ombe katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wameomba kujengewa daraja ili waweze kutumia muda mfupi …

TAKUKURU Mwanza Yamnasa Askari Feki wa JWTZ

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoani Mwanza, Ernest Makale, akitoa taarifa ya kukamatwa kwa mwanamke aitwaye Felister Mathias Mawe, kwa tuhuma za kujifanya askari wa Jeshi la Wananchi JWTZ na kuchukua fedha kwa baadhi ya watu Jijini Mwanza ili awasaidie kupata nafasi ya kujiunga na jeshi hilo kupitia maofisa anaofahamiana nao. Na BMG Makale ameeleza …