Simba Cement Wasaidia Madawati Shule za Sekondari Tanga

KUFUATIA Uhaba wa madawati katika shule za msingi halmashari ya jiji la Tanga na wanafunzi kusomea chini, Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement kimetoa madawati 100 kwa shule tatu. Shule hizo ambazo zimefaidika na mpango huo ni Magaoni, Kiruku, Mkombozi na Martini Shamba zote za halmashauri ya jiji la Tanga. Akizungumza wakati wa makabidhiano mbele ya Mkuu wa Wilaya ya …

Maadhimisho ya Miaka 71 ya Umoja wa Mataifa…!

    OKTOBA 24 kila mwaka Umoja wa Mataifa hufanya maadhimisho ya kuzaliwa kwake. Mwaka huu mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kwa kushirikiana na serikali, wadau wa maendeleo na vijana wataadhimisha miaka 71 ya uwapo wa Umoja wa Mataifa kwa staili ya aina yake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika mkutano wa waandishi wa habari na Wizara ya Mambo …

Asilimia100 ya watoto wa mitaani Mwanza Wamenyanyaswa Kingono-Utafiti

          UTAFITI uliofanywa na shirika la Railway Children Africa mkoani mwaka jana umebaini kuwa idadi kubwa ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi mitaani wamenyanyaswa kingono. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Shirika la Railway Children, Bw. Pete Kent alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kubainisha matokeo …

TPB Mbeya Yachangia Ujenzi Mkoa Mpya wa Songwe

  Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa mifuko ya cement 125 kutoka benki ya Posta Tanzania (TPB) Tawi la Mbeya, hafla ambayo imenyika katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Songwe Octobar 18 mwaka huu.   Mkuu wa Wilaya ya Mbozi John Palingo akishukuru mara baada ya kupata msaada kutoka …

Taasisi ya Demokrasia na Utawala Bora Yawanoa Wanahabari

  Baadhi ya wanahabari Jijini Mwanza, wakijadiliana wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kuandika habari zenye tija katika jamii kuhusiana na sekta ya madini nchini.  Pia wanahabari hao walipata wasaa wa kuwasilisha tathimini yao kuhusiana na ziara mbalimbali ambao wamezifanya kwenye maeneo yenye wawekezaji wa madini Kanda ya Ziwa ikiwemo mkoani Shinyanga. Wa kwanza kushoto ni Mkufunzi wa mafunzo …

Namaingo Kunufaisha Wananchi 3,000 Ufugaji Kuku Mkoani Lindi

      KAMPUNI ya Namaingo Business Agency (T) LTD, mwezi ujao inazindua mradi mkubwa wa ufugaji kuku chotara wenye thamani ya sh. bilioni 30 utakaowawezesha wananchi 3000 wa mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Makao Makuu ya kampuni hiyo, Ukonga, Dar es Salaam leo, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Ubwa Ibrahim  amesema …