Mkurugenzi Mtendaji wa jarida maarufu nchini la Bang ‘Bang Magazine’, Emelda Mwamanga (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya kubwa la mavazi ya maharusi ‘Precious Wedding House’ lililozinduliwa jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni mmiliki wa duka hilo, Mary Monyo pamoja na Mwendeshaji wa duka la Precious Wedding House, Victoria Chuwa (kulia). Uzinduzi huo uliofanyika Sinza …
Rais Magufuli Aitaka Bodi ya Mikopo Kuongeza Kasi Ukusanyaji Madeni kwa Wahitimu
Na Beatrice Lyimo-MAELEZO RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli ameagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kutumia Sheria zilizopo kuongeza kasi ya ukusanyaji wa madeni kwa wahitimu walionufaika na mikopo. Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo jijini Dar es salaam wakati akiweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa …
Waziri wa Fedha Aipongeza NMB Kuwajali Wajasiriamali Wadogo
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Philip Mpango ameipongeza Benki ya NMB kwa kuwajali wajasiliamali wadogo na wakati. Waziri Mpango ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizinduwa maonesho ya mabenki na taasisi za kifedha katika ukumbi wa Mlimani City. Alisema Serikali inatambua mahitaji makubwa ya kufanya maboresho na kuziwezesha …
Yono Aution Yabomoa Zaidi Nyumba 150 za Wakazi wa Tegeta Dar
Wananchi wa Tegeta A Kata ya Goba wakiwa wamesimama chini ya mti Dar es Salaam jana, baada ya nyumba zao kubomolewa na Kampuni ya Udalali ya Yono kwa madai ya kuvamia eneo hilo. Hata hivyo wamekanusha kuvamia eneo hilo. Zaidi ya nyumba 150 zilibomolewa. Wananchi hao leo wanaandamana kwenda kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kupeleka malalamiko yao. …
Uzinduzi Mradi wa Uzalishaji Umeme kwa Njia Rafiki ya Mazingira Longido
Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakiwa katika hafla hiyo ya uzinduzi katika kijiji cha Kitumbeine wilayani Longido. Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakiwa na viongozi …
Analysis of E-Commerce Trends in Tanzania…!
JUMIA Market intends to educate e-commerce entrepreneurs as well as those who are, in any other way, associated with this rapidly developing industry in the country. One of the key focuses for E-commerce is understanding online shopping behavior/trends of customers and monitoring them in order to better align services with new customer trends. Knowing why consumers behave the …