RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema Kenya ni nchi inayoongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania ikilinganishwa na nchi nyingine za Bara la Afrika. Rais Magufuli amesema hayo leo tarehe 31 Oktoba, 2016 katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya ambako ameanza ziara ya Kiserikali ya siku mbili …
Watanzania Watakiwa Kutunza Mazingira
Na Frank Shija, MAELEZO WATANZANIA watakiwa kufanya jitihada za makusudi katika suala zima la utunzaji wa mazingira ikiwa ni hatua za kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa na Tabia nchi. Rai hiyo imetolewa leo na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akifungua Tamasha la Kimataifa linalohusu Mabadiliko ya Tabia ya Nchi linalowakutanisha Wanasayansi, Watafiti …
Rais Magufuli Aelekea Kenya Ziara ya Siku Mbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli, leo tarehe 31 Oktoba, 2016 ameondoka nchini kuelekea Nairobi nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini humo kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Rais Magufuli ameagwa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo …
Rais Magufuli ‘Avamia’ Wizara ya Maliasili na Utalii…!
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, tarehe 29 Oktoba, 2016 amefanya ziara ya kushtukiza katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii (Mpingo House) kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa operesheni ya kukabiliana na ujangili inayofanywa na Kikosi Kazi kilichoundwa na Wizara hiyo. Akiwa katika ofisi hizo Rais Magufuli aliyekuwa na Katibu Mkuu wa …
BoT Yaitwaa Twiga Bancop, Yautumbua Uongozi…!
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mabenki, Kenedy Nyoni (kushoto), akichangia jambo kwenye mkutano huo. Kulia ni Gavana wa Benki Kuu, Profesa Beno Ndulu. Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki wa BoT, Victoria Msina (kulia), akimkaribisha Gavana Beno Ndulu kuzungumza na wanahabari. Wa pili kutoka kulia ni Kaimu Katibu wa Benki, Mustafa Ismail. Na Dotto Mwaibale BENKI Kuu …
CCM ‘Yamkejeli’ Edward Lowassa…!
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu wanahabari, KWA muda sasa kumekuwepo na usambazaji wa taarifa za upotoshaji zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa wakishirikiana na baadhi ya vyombo vya habari zinazolenga kukejeli, kudhihaki, kukatisha tamaa, kubeza na kudhoofisha jitihada zinazofanywa na Chama Cha Mapinduzi na Serikali zake katika kuleta maendeleo kwa Watanzania. Kumekuwepo na makala zinazoandikwa na magazeti mawili ya …