Serikali Yaanza Mchakato Ujenzi Reli ya Kati Kiwango cha Kimataifa

Na Frank Shija, MAELEZO Serikali ya Awamu ya Tano ndani ya mwaka mmoja imeanza mipango ya kuboresha usafiri wa reli ya Kati kwa kuijenga kwa kiwango cha kimataifa yaani Standard Gauge. Usafiri huu utaongeza fursa za kiuchumi kwani mazao ya chakula na biashara toka mikoa ya Kigoma, Kagera, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora na Singida kuelekea Dar es Salaam yatasafirishwa kwa …

Rais Magufuli Awataka Waandishi Kutotumiwa na Wamiliki Vyombo vya Habari

Na Beatrice Lyimo, MAELEZO-Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka waandishi wa habari nchini kutotumika kama mgongo kwa baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari katika kupinga muswada wa sheria wa huduma za habari wa mwaka 2016. Aliyasema hayo leo Jijini Dar es Saalam wakati wa mkutano wake na Wahariri wa vyombo …

Rais Magufuli Atoa ya Moyoni, Ni Katika Mazungumzo na Waandishi

          RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo ametoa ya moyoni alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu aingie madarakani. Mazungumzo hayo ambayo yanaenda sambamba na maadhimisho ya mwaka mmoja tangu aingie madarakani, Rais Magufuli amesema kwa changamoto zilizopo nafasi …

UNESCO Yapinga Sheria Zinazowabana Waandishi wa Habari

WAKATI Bunge la Tanzania wiki hii linatarajiwa kujadili na kupitisha muswada wa habari, Shirika la Umoja wa mataifa la Elimu, sayansi na Utamaduni (UNESCO) limehadharisha juu ya uwapo wa sheria zinazotishia uhuru wa vyombo vya habari.   Akizungumza katika kongamano linalohusu ukatili kwa waandishi ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kupinga ukatili kimataifa kwa waandishi wa habari, Mkuu wa idara …

UN, EU Watoa Euro Laki Nane Kuwasaidia Wahanga Mimba za Utotoni

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la UN kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) wametoa Euro laki nane kuwasaidia watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu na wahanga wa mimba za utotoni waishio kwenye kituo cha Faraja Young Women Development Unit. Mwakilishi wa EU ambaye ni Afisa Miradi Anna Muro amesema kuwa msaada huo utasaidia kuwawezesha wanawake Waweze kushiriki kwenye maendeleo …

Madiwani Ileje Watumbua Watumishi wa Halmashauri…!

  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Haji Mnasi akiongea wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani. Na Fredy Mgunda, Ileje   BARAZA la Madiwani Wilayani Ileje limebariki kufutwa kazi kwa watumishi wawili wa Halmashauri hiyo kutokana na tuhuma za wizi wa mamillioni ya fedha za wafadhili za mradi wa UKIMWI wa Water Reed. Akizungumza wakati wa kufungwa kwa Baraza hilo Mwenyekiti wa …