RC Awataka Ustawi wa Jamii Kushirikiana na Polisi Kudhibiti Ukatili

  Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha One Stop Centre katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, Sekour Toure, hii leo. Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, akizindua jengo la kituo cha One Stop Centre katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, Sekour Toure. Mkuu wa mkoa wa Mwanza …

Benki ya Twiga Bancorp ‘Yatoka’ Kifungoni…!

BENKI ya Twiga Bancorp Ltd (Twiga) ambayo ilikuwa imefungwa kwa muda na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itaanza kufanya kazi baada ya mchakato wa kuifanyia tathmini ya kifedha kukamilika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana benki hiyo itaanza kutoa baadhi huduma za kibenki kwa umma kuanzia Novemba 8, 2016.  “Kwa mamlaka iliyopewa kisheria kupitia …

Rais Magufuli ‘Amlilia’ Spika Mstaafu Samuel Sitta, CCM Watuma Rambirambi..!

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai kufuatia kifo cha Spika Mstaafu na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Urambo lililopo Mkoani Tabora Mhe. Samuel Sitta. Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia katika hospitali ya Technical University of …

Wasanii wa Nigeria Kunogesha Fainali ya Fiesta 2016 Dar

 Msanii kutoka Nigeria, Yemi Alade (kushoto) , akisalimiana na msanii Snura Mushi alipokuwa amewasili ukumbi wa mikutano wa Kampuni ya Simu ya Tigo kuzungumza na wanahabari wakati akijitambulisha kwao  Dar es Salaam leo jioni, kuhusu uwepo wake kwenye hitimisho la Tamasha la Fiesta litakalofanyika kesho viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.  Mratibu wa Tamasha la Fiesta, Sebastian Maganga (kulia), …

EU yawekeza EURO milioni 1.7 Kituo cha Utamaduni Makumira.

Meneja Mradi wa Kituo cha Utamaduni cha Makumira, Randall Stubbs akitoa maelezo kwa Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) kwa nchi za Afrika Mashariki Roeland Van De Geer (kushoto) aliyeambatana na Mwakilishi wa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Amon Manyama (kulia).     Umoja wa Ulaya (EU) umewekeza zaidi ya Euro milioni 1 na laki 7 …

Taasisi ya ANSAF Yawanoa Wadau wa Kilimo Kanda ya Ziwa

Katibu Tawala Msaidizi idara ya Uchumi na Uzalishaji mkoani Mwanza, Joanen Kukwami akifungua mkutano wa wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza kwa siku mbili,  Mkutano huo uliandaliwa na Jukwaa la Wadau wa Kilimo nchini ANSAF, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wa kuhakikisha kunakuwa na kilimo chenye tija katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ili familia ziweze kujikimu …