Rais Magufuli Alivyowatembelea Wagonjwa Muhimbili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mke wake mama Janeth Magufuli aliyelazwa katika Hospitali ya Muhimbili wodi ya Sewa Haji akipatiwa Matibabu jana Novemba 10,2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akimjulia hali Waziri wa Zamani Balozi Ramadhani Mapuri ambaye amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali …

JKT Oljoro Watoa Madawati 537 Halmashauri ya Serengeti

Kaimu Kamanda wa Kikosi cha JKT Oljoro Meja Robert Kabanda akikabidhi Madawati 537 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini. Kaimu Kamanda wa Kikosi cha JKT Oljoro Meja Robert Kabanda akikabidhi Madawati 537 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini. Kaimu Kamanda wa Kikosi cha JKT Oljoro Meja Robert Kabanda akikabidhi Madawati …

Kampuni ya TTCL Yawafuata Wateja Mitaani

      KAMPUNI ya Simu Tanzania TTCL, leo imeanza Kampeni ya kuwafuata wateja wake mitaani ili kuzungumza nao, kuwapa taarifa za huduma zinazotolewa na kuwaunganisha wateja hao katika huduma mbali mbali za TTCL. Kampeni hiyo imeongozwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Bw Waziri W. Kindamba na kusaidiwa na Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Wafanyakazi wa …

Jaji Mutungi Avifuta APPT Maendeleo, Jahazi Asilia na Chausta

   Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Monica Mnanka (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati akimkaribisha Msajili wa Vyama kuzungumza na wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Msaji Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza na Msajili wa Vyama, Jaji Francis Mutungi.  Mkutano na wanahabari ukiendelea.   Na Dotto Mwaibale   …

Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli: PPF Watekeleza kwa Vitendo…!

  Na Daudi Manongi, MAELEZO. NOVEMBA 5 mwaka 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametimiza mwaka mmoja tangu alipoingia madarakani akiwa na dhamira mpya ya serikali ya awamu ya tano ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda na uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025. Mara kadhaa Rais Magufuli amekuwa akisisitiza umuhimu wa viwanda …

Ofisi ya Taifa ya Takwimu Yatoa Taarifa Mfumuko wa Bei..!

    Na Beatrice Lyimo, MAELEZO -DAR ES SALAAM OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa taarifa kuhusu mfumuko wa bei wa Taifa ambapo mfumuko wa bei wa taifa kwa mwezi oktoba, 2016 umebaki kuwa asilimia 4.5 kama ilivyokuwa mwezi Septemba mwaka huu Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mtakwimu Mkuu wa Ofisi ya Taifa takwimu, …