Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 169

Category: Habari za Nyumbani

Waziri Mkuu Majaliwa Akutana na Wawekezaji Wa Sukari Kutoka India

Posted on: March 24, 2016 - Yohana Chance
Waziri Mkuu Majaliwa Akutana na Wawekezaji Wa Sukari Kutoka India

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa Wawekezaji kutoka India wanaokusudia kuwekeza katika kilimo cha miwa na kiwanda cha sukari hapa nchini, Ofisini kwake…

Continue Reading....

Mabasi Yaendayo Kasi Kuanza Wiki Hii Jijini Dar

Posted on: March 23, 2016 - Yohana Chance
Mabasi Yaendayo Kasi Kuanza Wiki Hii Jijini Dar

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mabasi yaendayo kasi (DART) yataanza kufanyiwa majaribio ndani wiki moja kuanzia sasa ili madereva waanze kuzoea njia na taa za…

Continue Reading....

UNFPA Yatoa Msaada ya Vifaa vya Kufundishi Vyuo vya Afya

Posted on: March 22, 2016March 23, 2016 - Yohana Chance
UNFPA Yatoa Msaada ya Vifaa vya Kufundishi Vyuo vya Afya

Na; Lilian Lundo – MAELEZO Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNFPA) limekabidhi simu za kufundishia huduma ya uzazi salama kwa vyuo vya Afya…

Continue Reading....

Soko la Feri Latakiwa Kutafuta Gesi ya Bie Nafuu

Posted on: March 22, 2016March 23, 2016 - Yohana Chance
Soko la Feri Latakiwa Kutafuta Gesi ya Bie Nafuu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Bodi ya soko la Kimataifa la Samaki la Feri, kukutana na makampuni mbalimbali yanayouza gesi ili kupata kampuni inayouza kwa…

Continue Reading....

Spika Ndugai Afanya Mabadiliko ya Wajumbe Kamati za Kudumu za Bunge.

Posted on: March 22, 2016 - Yohana Chance
Spika Ndugai Afanya Mabadiliko ya Wajumbe Kamati za Kudumu za Bunge.

Na; Benedict Liwenga – Maelezo. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) amefanya mabadiliko ya baadhi ya Wajumbe wa…

Continue Reading....

Wafanyakazi Temeke Waliopo Masomoni na Likizo Watakiwa Kurejea Kazini Haraka

Posted on: March 22, 2016March 22, 2016 - Yohana Chance
Wafanyakazi Temeke Waliopo Masomoni na Likizo Watakiwa Kurejea Kazini Haraka

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke walioko masomoni na likizo wametakiwa kurudi mara moja katika vituo vyao vya kazi ili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari