Rais Dk John Magufuli Akiwasili Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba ambako aliweka shada la maua kwenye kaburi la Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hayati Dkt Omar Ali Juma, na kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Gombani …

TTCL kuwasaidia wahandisi kupata mawasiliano vijijini

    Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imesema inamajibu ya mawasiliano ya uhakika kwa wahandisi wanaofanya kazi zao maeneo yasio na mawasiliano na sasa imeanza kutoa huduma hiyo kwa wahandisi hao ili waweze kutekeleza kazi zao kwa ufanisi. Kauli hiyo imetolewa na Mhandisi Mratibu wa Huduma Mpya za TTCL, Yonah Kulanga akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa 14 …

Rais Magufuli Azuklu Kaburi la Omar Juma na Kuomba Dua

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli Asubuhi ya leo tarehe 02 Septemba, 2016 amewasili Kisiwani Pemba ambapo majira ya Alasiri amezungumza na wananchi wa Pemba katika Mkutano wa hadhara utakaofanyika katika uwanja wa Gombani ya Kale kisiwani hapa. Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba kwa Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania …

NHC Yavamia Club Bilcanas, Yamtupia Vilago Mbowe…!

          SHIRIKA la Nyumba Tanzania (NHC) limevitoa nje vyombo vya mpangaji kampuni ya Free Media wamiliki wa Gazeti Tanzania Daima na Club Bilcanas inayomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa madai ya mpangaji huyo kudaiwa zaidi ya shilingi bilioni 1.171 ikiwa ni limbikizo la muda mrefu kama malipo ya pango katika jengo lao. Vyombo hivyo …

Kamanda Alfred Tibaigana Aibuka Azungumzia Maandamano…!

  Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO KAMANDA Mstaafu Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuanzia mwaka 2001 hadi 2008, Alfred Tibaigana amesema kuwa maandamano ya aina yoyote ni haki ya mwananchi na yanaruhusiwa kisheria lakini maandamano hayo lazima yafuate sheria na taratibu zilizobainishwa katika Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kamanda Tibaigana alitoa kauli hiyo hivi karibuni katika mahojiano …