Kumbe Kunyonya Vidole Kuna Faida Kubwa Hivyo ?

Chanzo: bbcswahili.com Ripoti mpya inasema watoto wanaonyonya vidole au kung’ata kucha zao kwa meno huenda wasipate matatizo ya kuathirika kutokana na mazingira hewa au kula vyakula fulani. Kwa mujibu wa waandishi katika jarida la Pediatrics, huo ni ni usafi dhanio,kwani yatokanayo na baadhi ya wadudu huimarisha mfumo wa kinga ya mwili. Unyonyaji wa kidole gumba na ung’ataji wa kucha umeonekana …

Unajua Muda Wa Matumizi Ya Matairi Ya Gari Lako?

Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari yako). Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote. Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (*2603*) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba …

Je Unaishi Maisha Bora Au Bora Maisha? Sehemu ya 2

Wanajamvi wa Chuo Cha Maisha natumai wote mnaendelea vema. Leo tupo katika sehemu ya pili ya mtiririko wa zile sifa 15, ambazo mtaalam Ziglar ametuwekea bayana kwamba ndio zitatusaidia kutambua kama tunaishi maisha bora au bora maisha. Leo tunaendelea na sifa nyingine 5, kwani wiki iliyopita tulizitaja 5, na kama ulipitwa, basi gonga hapa: http://www.thehabari.com/habari-tanzania/je-unaishi-maisha-bora-au-bora-maisha; chap chap, ili uzisome kabla …

Je Unaishi Maisha Bora Au Bora Maisha?

  Kwanza tusameheane ndugu zangu kwa kupotea kidogo kwenye ukurasa huu kutokana na majukumu mengine ya maisha. Pia, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru nyinyi wasomaji wa ukurasa huu wa “Chuo Cha Maisha”, ambao wengi wenu mmeandika email na kutufahamisha ni kiasi gani mmenufaika na makala hizi. Wengi mmetuma pongezi zenu na kusema kwamba mmejifunza mengi kutoka kwenye makala kama “Tabia …