Breaking Newz; Fredrick Sumaye Ndani ya UKAWA Rasmi

Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye.

WAZIRI Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye ang’oka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na ushirika wa UKAWA. Kiongozi huyo amejiunga rasmi na umoja huwo leo jijini Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Bahari Beach Hotel na kudai anatoka CCM kwa kuwa hana umuhimu wowote ndani ya chama hicho. Habari zaidi inakuja juu ya sababu za kuondoka CCM.

Related Post

One thought on “Breaking Newz; Fredrick Sumaye Ndani ya UKAWA Rasmi

  1. Wale waliokuwa wabunge wa CCM na hatimaye kulinda kura za maoni wamepigwa biti kuchangia tsh mil. 70 kwa ajili ya kampeni za urais vinginevyo CCM waliwaambia wagombea hao kama hawatataka kufanya hivyo nafasi hiyo nyeti ingemuhusu mshindi wa pili ama watatu.

Comments are closed.