Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 81

Author: Yohana Chance

Mamadou Sakho Achunguzwa na UEFA

Posted on: April 23, 2016 - Yohana Chance
Mamadou Sakho Achunguzwa na UEFA

Beki wa Liverpool Mamadou Sakho anachunguzwa na UEFA kwa kufeli ukaguzi wa madawa ya kulevya. Ijapokuwa raia huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 26…

Continue Reading....

Ligi ya Mabingwa wa Mikoa kuanza Mei 14

Posted on: April 23, 2016 - Yohana Chance
Ligi ya Mabingwa wa Mikoa kuanza Mei 14

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza Mei 14, 2016 kuwa tarehe ya kuanza kwa Ligi ya Mabingwa wa mikoa (RCL) itakayozishirkisha bingwa wa…

Continue Reading....

Soma Hapa Matokeo ya Ligi Kuu ya Uingereza

Posted on: April 23, 2016April 23, 2016 - Yohana Chance
Soma Hapa Matokeo ya Ligi Kuu ya Uingereza

Manchester City imepanda hadi nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi ya Uingereza baada ya kuicharaza Stoke City 4-0 huku ikitarajiwa kumenyana na Real Madrid…

Continue Reading....

Kufa Kufaana Mbao Fc Yapanda Ligi Kuu

Posted on: April 23, 2016 - Yohana Chance
Kufa Kufaana Mbao Fc Yapanda Ligi Kuu

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeitangaza klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza kupanda Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu ujao kutoka katika…

Continue Reading....

Soma Hapa Ratiba Nzima Ligi Kuu Uingereza Wikiendi Hii

Posted on: April 22, 2016April 22, 2016 - Yohana Chance
Soma Hapa Ratiba Nzima Ligi Kuu Uingereza Wikiendi Hii

Ligi kuu ya Uingereza inatarajia kuendelea wikiendi hii kwa michezo kadhaa kupigwa baada ya kushuhudia katikati ya wiki baadhi ya timu kubwa zikivuna pointi zote…

Continue Reading....

Leicester, Tottenham Waongoza Kutoa Wachezaji Bora

Posted on: April 22, 2016 - Yohana Chance
Leicester, Tottenham Waongoza Kutoa Wachezaji Bora

Timu za Leicester City na Tottenham imetoa wachezaji nane katika kikosi cha mwaka cha wachezaji bora wa wakulipiwa (PFA) wa ligi kuu ya England. kila…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari