Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 79

Author: Yohana Chance

Tottenham Yapunguzwa Kasi na West Bromwich

Posted on: April 26, 2016 - Yohana Chance
Tottenham Yapunguzwa Kasi na West Bromwich

Klabu ya Tottenham Hotspur imepunguzwa kasi katika halrakati ya kulisaka taji la ligi kuu la Uingereza baa ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na West…

Continue Reading....

Wenger Aingiwa na Wasiwasi Juu ya Mwenendo wa Arsenal

Posted on: April 26, 2016 - Yohana Chance
Wenger Aingiwa na Wasiwasi Juu ya Mwenendo wa Arsenal

Meneja wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger amesema ameanza kuingiwa na wasiwasi kuhusu Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu. Anasema wasiwasi zaidi unatokana na hatari…

Continue Reading....

Klabu Bingwa Ulaya Kuendelea Leo, Manchester City Kumkosa Yaya Toure

Posted on: April 26, 2016 - Yohana Chance
Klabu Bingwa Ulaya Kuendelea Leo, Manchester City Kumkosa Yaya Toure

Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya hatua ya Nusu fainali inaendelea tena leo ambapo Manchester City watamenyana na Real Madrid. Manchester City wataikaribisha Real Madrid…

Continue Reading....

Rais Dk. Magufuli Afanya Uteuzi Makatibu Tawala wa Mikoa

Posted on: April 25, 2016April 25, 2016 - Yohana Chance
Post Tags: Rais Dk Magufuli
Rais Dk. Magufuli Afanya Uteuzi Makatibu Tawala wa Mikoa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 25 ya…

Continue Reading....

Thobias Andengenye Ateuliwa Kamishna Mkuu Jeshi la Zimamoto

Posted on: April 25, 2016April 25, 2016 - Yohana Chance
Thobias Andengenye Ateuliwa Kamishna Mkuu Jeshi la Zimamoto

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye kuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto nchini.…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Akutana na Balonzi wa China Dk Lu Youqing

Posted on: April 25, 2016April 25, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Akutana na Balonzi wa China Dk Lu Youqing

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini Dar es Salaam.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari