Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 77

Author: Yohana Chance

Taekwondo Ilivyotikisha Jiji la Arusha

Posted on: April 28, 2016 - Yohana Chance
Taekwondo Ilivyotikisha Jiji la Arusha

Mashindano ya Taekwondo yamefanyika mwishoni mwa Jijini Arusha yakishirikisha zaidi ya vijana 60 wa Rika mbalimbali kutoka Arusha na Mkoa wa Kilimanjaro Licha ya kuwepo…

Continue Reading....

Atletico Madrid Watanguliza Mguu Mmoja Fainali ya UEFA

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Atletico Madrid Watanguliza Mguu Mmoja Fainali ya UEFA

Klabui ya Atletico Madrid imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa Nusu fainali ya ligi mabingwa…

Continue Reading....

Wamaume Waunda Taasisi ya Kuelimishana Wajibu

Posted on: April 27, 2016April 27, 2016 - Yohana Chance
Wamaume Waunda Taasisi ya Kuelimishana Wajibu

Mwanzilishi wa Taasisi ya Wanaume Man at Work Maxwell Stansalaus akizungumza na Wanaume ijini Arusha katika mkutano Mkuu wa Wanaume uliofanyika na kuhudhuriwa na zaidi…

Continue Reading....

Kamati ya Mashindano ya FA Imezipiga Faini Yanga na Coastal Union

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Kamati ya Mashindano ya FA Imezipiga Faini Yanga na Coastal Union

Coastal Union imepoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga baada ya washabiki wake kuwa chanzo cha Mwamuzi kuvunja mchezo huo…

Continue Reading....

Yanga Sc Yanusa Ubingwa, Azam Yaishusha Simba

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Yanga Sc Yanusa Ubingwa, Azam Yaishusha Simba

YANGA SC imetanua kwigo kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mgambo JKT jioni ya leo Uwanja…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Amewaapisha Makatibu Tawala Wapya

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Amewaapisha Makatibu Tawala Wapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha ndugu Albert Gabriel Msovela kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Ikulu jijini…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari